Habari wajuvi,
Nimekua mtumiaji wa muda mrefu wa hivyo vifaa nilivyovitaja katika kichwa chwa habari hapo juu lakini nimekua nikinunua kwa kubahatisha tu kwa kweli sifahamu kabisa jinsi ya...
Wakuu sina activation key ila nahitaji kufanya activation bila ya kuwa na key, maana nimejaribu kwa kutumia Microsoft tool kit imegonga mwamba, nimejaribu kwa kutumia CMD imegoma mwamba CMD...
NOTE:
Ninaposema troubleshooting tool maana yake ni tool inayoweza kukusaidia kujua na kutatua tatizo lolote kwenye PC.
sifundishi ila najaribu kukufumbua macho ukae ukifahamu kuwa hauitaji...
Habarini wakuu, heri ya sikukuu ya IDD natumai sikukuu ileenda poa
Turudi kweny mada katika pita pita zangu mwezi wa tatu nilikua tunduma
Nikakuta wanauza Samsung LED TV inch 32 kwa Bei cheap...
Wadau kwanini Google Adsense sasa hivi imekuwa sana shida kuipata? Vigezo hadi kero!
Bloggers mliowin embu tupeni maufundi maana kampuni zingine hizi mizinguo sana, sijui ni kwangu tu.
Sent...
Wakuu wa mambo ya technology
Hebu naomba mnisaidie kutofautisha kati ya simu ambazo ni refurbished na zile ambazo sio refurbished?
=====
The term ‘refurbished phone’ generally refers to a...
Hello guys, habari za Jumapili! nitaomba kujuzwa kwa hapa Tanzania kampuni gani ya App designing n development wenye uwezo mzuri wa ku integrate Artificial intelligence kwenye application? Nimekua...
Kulingana na rafiki yangu anayefanya kazi kwenye kampuni moja ya simu ulaya, simu zenye kuishia na namba zaidi ya 50 kwenye imei ni hatari kwa kuwa zinavuta nguvu nyingi zenye madhara kwa afya. So...
Game moja ya burudani nzuri kwenye simu na computer ila yale magemu yenye viwango vya juu malanyingi nikiona list ya games Bora ya Android naona wanataja badland nk ila sijawai ona mtu anataka ili...
Kwa wapenzi wa modded games za kwenye Android mobile phones Kuna chimbo flani hivi ni app ya kuitwa. (Happymod) humo utapata games kibao zilizo hackiwa bure kabisa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.