Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama kichwa cha habari kinavyo sema hapo juu, naomba kufahamishwa kuhusu matumizi ya hiki kitu kinacho itwa data usage kwenye simu za android jinsi ya kuiset na mambo mengine kama hayo. Ahsante?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Zoom ni kati ya mitandao inayotumika sana kufanya mikutano kwa njia ya video, na imepata umaarufu mkubwa baada ya janga la #COVID19 ambalo limefanya watu waitumie zaidi ili kuepuka mikutano ya ana...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna PC yang HP Elitebook ile ya Fingerprint ina muda sijaitumia. Sasa juzi naiwasha inawaka vizuri kabisa tatizo ni keypads mpaka ulong press ndo inakubali yani ukibonya keypad inapiga kimlio...
0 Reactions
2 Replies
548 Views
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO, inatarajia kuzindua simu yake mpya aina ya TECNO SPARK 5 yenye kamera 5 Ijumaa hii kwa njia ya mtandao, ikiwa ni mara ya pili kuzindua kwa njia hiyo ya mtandao...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Tayari nilifanikiwa
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Niaje wakuu, niliflash simu yangu aina ya galaxy note 5 N9200 (HongKong version).. hii simu baada ya kuflash haioneshi network.. yaani line haipandishi mtandao.. No service/no network connection...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu, msaada tafadhari, naombeni kujua ni software gani (trusted) naweza kuitumia kuongeza ukubwa wa local disk C kwenye PC? ahsanteni kwa ushirikiano
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hili tatizo linaniumiza sana kichwa Navyowasha PC ile system ya hp ambayo inaload kabla ya windows kuload IPO taratibu sana, nliupdate BIOS ila wapi na hio bios ile update kwa masaa mawili...
0 Reactions
4 Replies
817 Views
msaada pleas jins ya kudownload jaman
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu. Kama kichwa cha post hii kinavyosema, naomba wataalamu munifahamishe Android application ninayoweza kutumia kuedit video clips au kutengeneza video kupitia picha...
1 Reactions
16 Replies
8K Views
Wadau habari zenu, Naomba msaada wenu wa kupata product key ya Window 8.1 Pro tafadhali
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari ya uzima na poleni na majukumu yenu ya kila siku, Wakuu nataka kuanza kutumia whatsapp version kwenye laptop yangu badala ya simu, Je kuna mwanajukwaa ambaye alishawahi kutumia apps...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Je, kuna software yoyote nzuri ambayo inaweza kudelete mafile yaliyojirudia kwenye computer? Kama ipo naomba msaada wenu!
0 Reactions
1 Replies
832 Views
Kuna App ya Radio Station ambayo haitumii Internet? Kama Ipo Naomba Jina au Link
0 Reactions
45 Replies
7K Views
Habari zenu jamani,nina king'amuzi cha Azam,Upande wa picha kuna muda inaonyesha na kuna muda picha inakata,na picha picha inapokata kuonyesha inaleta maneno haya,Smartcard is not Correctly,je...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Natumaini ni wazima naomba kujua namna ya kuzuia matangazo kwenye simu ya infinix maana ukiwasha data tu matangazo mengi mnoo mpaka kero.
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu nimekuja kwenu hapa mnielekeze namna ya kuzuia mtu asifatilie SMS zako, calls ,WhatsApp chats nakadhalika. kcamp CHIEF MKWAWA
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Simu tajwa hapo juu ina miezi mitatu tu imeingia maji, warranty haifanyi kazi kww case za mishandling gharama za matengenezo naona ni bora ninunuwe simu nyingine, sasa nimeona ni heri nipate nusu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1. Choose "E911" in the "location" menu on your phone. On some phones you may need to enable privacy mode instead. These settings will allow GPS tracking only in response to a 911 call, which is...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari ndg zangu, msaada ni huduma gani naweza kutumia ili kuweza kufunga mtu akinipigia asiweze kunipata hewani . Msaada wana jf
0 Reactions
36 Replies
34K Views
Back
Top Bottom