Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wadau naomba msadaa nina laptop lenovo awali nilikuwa ninaweza ku play cd bila shida. Juzi kati nimejaribu kuweka cd ila imekataa kusoma cd. Nimejaribu kila namna haionekani hata kwenye my...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Naomba msaada wa kujua generation ya Pc au una fanyaje ili ujue generation ya ngapi? Harafu kingine naomba ellimu kidogo kuhusu ana na icore kwenye pc ina kazi gani maana naonaga tu icore 3 au 5...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu nawasalimu, Nina kithinkipad changu hapa nilijaribu kinatumia SSD nikajaribu kugawa partition cha kushangaza kimecollapse. Nimejaribu kurest kinagoma pia. Naombeni msaada hela ya kumpa...
0 Reactions
8 Replies
871 Views
uBlock Origin ni moja kati ya vitu vinavyoongezwa ‘Add On/Extension’ kwenye ‘browser’ ili kuzuia matangazo mtu anapoperuzi mtandaoni Imeripotiwa na jarida la ‘Bleeping Computer’ kuwa kwa sababu...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari naomba ushauri ninafikiria kununua gari. Hili litakuwa ni gari langu la kwanza kumiliki katika pitapita yangu nimelipenda suzuki swift la 2004.Kwa ambao washawahi kumiliki gari hili...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari wapendwa natumaini mnaendelea vizuri Naenda straight to the point Nina simu Aina ya Samsung galaxy A10s, cha ajabu nikiingia kwenye account yangu kulogin hasa account yangu ya matokeo ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba msaaada kwa wajuzi wa hili ikiwezekana na muda wa mafunzo na ada
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Naomba mnisaidie jinsi ya kudownload movies kupitia UC Browser kama Tecno wanavyotangaza. Ahsante
0 Reactions
7 Replies
6K Views
wakuu naomba msaada. Nilinunua modem ya Mobily nikaambiwa ni universal, funny enough nime install lakini hai connect. Tatizo nini wakuu hapa? Nimejaribu line karibia zote
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa kufungua vivo account nimefata step zote ila tatizo lipo kweny code nimenitahid kutafuta code zetu za tanzania ila wap hazipo naomben msaada wataalamu wa kazi
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari yako, PC yangu kwa muda sasa kila nikijaribu kuconect internet kupitia simu yangu inasema "Limited" na status yake inasema "unidentified network" na "no internet access", natumia windows...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF, Poleni na mihangaiko ya weekend. Kuna tatizo hapa linanitatiza, nimeshindwa namna ya kulitatua, naombeni msaada wenu. Katika kipindi cha likizo ya Corona nilipokuwa na mwenzangu...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Habari wakuu, nimeibiwa smart TV je ku a nmna naweza itrace kama tufanyavo kayika simu na je na vitu gan vinahitajikaa kama huo utaratibu upoo?
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za leo wanajukwaa letu pendwa!! kama heading inavyoonesha hapo juu kuhusu hayo magari tajwa. katika pita pita zangu za kusaka japo kausafiri ka kunitoa huku Chanika kwetu hadi Mikocheni...
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Nina LG Led 49 ( Lj515V-Zd), Na nina Radio aina ya Aborder na speaker zake. Sasa nikiweka Flash kwenye Tv nikaconnect na zile nyaya nyeupe na nyekundu kwenye Radio na Tv, Bado sauti naiskia haiji...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habarini wakuu, naomba kwa mwenye uelewa natoaje Write protected kwenye Flash?
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hapa ningependa kuonyesha jinsi ya kubadilisha lugha ya simu yako ili uweze kutumia apps nyingi kupitia lugha yetu ya Kiswahili. Nimerekodi video ya njia ya kufuatwa ili lugha ibadilishwe, iwapo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Msaada link ya kudownload Fifa 2016
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Zaidi ya miaka 42 iliyopita simu ya kwanza ilipigwa kutumia simu ya mkononi, simu hiyo ya kwanza ya mkononi ilitengenezwa na kampuni ya Motorola. Ilikuwa mwezi wa 4 tarehe 3 mwaka 1973...
5 Reactions
26 Replies
6K Views
Habari za muda huu ndugu zangu! Baada ya kuona uhitaji wa watu kutaka kufaham kuhusu mobile software bhas kupitia uzi huu ntaenda kuwafahamisha kuhusu mobile software. Kwanza kabisa ni lazima uwe...
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom