Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kuna muda simu inanilazimisha n-update na mimi nafuta yaani sii update nafuta kabisa. Je, kuna madhara yoyote nisipo fanya hivyo?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
MAMBO YANAYOCHANGIA AIR CONDITIONER (KIYOYOZI) KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI Imeandaliwa na Eng:Yusto chaula Air conditioner au kiyoyozi ni kifaa kinachotumika kutoa nje hewa ya joto na kuingiza...
3 Reactions
8 Replies
9K Views
Nina laptop yangu wakuu imezingua upande wa kushusha window, mwanzo nilikuwa natumia window 10 ikaleta shida kidogo ya kutokubali kuingiza program na setting ikawa haifunguki nikashauriwa nibadili...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za hapa, Jana nilikuwa Mororogo Mjini nikapita mahali nikaona kijana moja akielezea teknolojia mpya ya kulinda kioo cha simu ya Ceremic Liquid na nyingine ya protector fulan hivi ngumu...
6 Reactions
60 Replies
19K Views
Wakuu kioo cha simu yangu TECNO P5 kimepasuka baada ya kuanguka wiki kama 3 zilizopita, baada ya kupasuka kikaweka crake(kreki)...na kikawa kinafanya kazi kama kawaida lakini kuanzia jana...
1 Reactions
16 Replies
13K Views
Niaje wanJF, kama kichwa cha habar kinavyoelezea. Nimedzan system ya masoko ila challenge inakuwa kwenye kuingiza bei ya mazao Kwa mikoa mingne kwaiyo kama kuna mtu anakuwa interest tunaweza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada wakuu najua wengi wetu tunatumia fb, kuna kile kipandw cha post ambacho mtu akipost kitu kinaonekana kwa watu wote wanaomhusu na wanaweza ku comment na mengineyo. Lengo langu ni kufanya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Psp inahitajika budget100,000
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Msaada kidogo ndugu tv yangu tokea jana haioneshi picha ila inatoa sauti inaweza kua ni tatizo gani? Nimejaribu kugusa gusa nyaya lakini wapi. Msaada pls
0 Reactions
11 Replies
9K Views
Kama wewe una pS4 na huna CD ya fifa17 huu ndio muda wako sasa. Ingia Playstation Network na uweze kununua game hilo ambalo kwa sasa liko kenye bei ya promotion. Linauzwa Dola 30 sawa na shilingi...
2 Reactions
124 Replies
32K Views
Hii window 7 kwenye PC hapa inagoma ku-start yaani ikifika pale kwenye logo inazima. Shida nini hapo? Nimejarbu njia nyingi imegoma.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Husika na mada tajwa hapo juu. Rafiki yangu kaniulizia bei ya Iphone 6 plus, nkamwambia itakuwa around laki 5 ila ni vigumu kupata OG kwa kuwa ni simu ya zamani, saiv kuna simu nyingi za kisasa...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, Je? Kisimbuzi cha startimes ina channel ambayo inaonesha league ya SPAIN (Laliga) Na inapatikana kwenye kifurushi gani?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari Wandugu, Kama title inavosema, Simu yangu Aina ya Infinix Hot 6 haikamati mawasiliano kabisa, yaan no Calls, no SMS no Internet zaidi ni Wifi only. Naomben Msaada iweze kuaccess...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
nilihifadhi namba za jamaa na ndugu kwenye option ya save via yahoo!! sasa simu niliibiwa, nowa nipo kwenye account yangu ya yahoo... nimetafuta option ya kuona namba nilizokuwa nasave kwa yahoo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Napenda kutengeneza video games, nilijifunza teknolojia mbali mbali ili niweze kutengeneza video games zangu mwenyewe. Kwanza kabisa nilikuwa tayari nishajua programming languages ambazo...
9 Reactions
16 Replies
3K Views
kama nilivyo tangulia kusema ndugu zangu naombeni msaada juu ya hii computer jana nilikuwa nina Install OS (ubuntu) 19.10 sasa baada ya installation nikitoa DVD nikawasha pc ina load tuu na...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nahitaji msaada kidogo Kuhusu kutoa pesa au kutuma pesa kutoka paypal Account kutoka Paypal Account (Yangu) Based on UNITED STATES kuja kwenye Bank Account Ya Tanzania so Far kupitia xoom.com au...
1 Reactions
56 Replies
11K Views
Habari wakuu, TV yangu ikiwa on nikiigusa kwenye ufito/ Kingo zake na viganja huwa sihisi chochote but nikigeuza mkono au kuweka shavu na hisi kitu Kama shoti hivi. Je, hii hali ni kawaida Kwa TV...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Back
Top Bottom