Wadau habari za huko kwenu?
Rejea mada tajwa hapo juu, kuna video nataka kudownload ina urefu wa dakika 27 na 300MB ila mimi nataka dakika 3 za mwanzo tu.
Lengo langu ni kuokoa Megabytes iwapo...
Wandugu mwene software ya VLC Media anisaidie kama anayo hapa nimejaribu kudownload kwa simu kisha kuicopy kweny PC inakataa.
Kama kuna mwenye nayo aiweke hapa tafadhali..
Habari waungwana msaada tutani
PC yangu aina ya HP yenye windos 8 inaleta ujumbe huo hapo chini kwenye picha.nmejaribu njia kadhaa nmegonga mwamba,njia nilizojaribu:
1. kubadili hard disk yaani...
Wale watumiaji wa Android OS, leo nimefanikiwa kuupdate kwenda Android 10 kutoka Android 9 (pie).
Nimeona tu kwenye simu yangu notification ya new software updates.
Bado sijaanza kuifurahia ila...
Wakuu nimeibiwa simu yangu Infinix hot 9 na rafiki wa karibu. Msaada wa toka kwenu nampataje? Nimemfuatilia central majibu ya njoo kesho yamekuwa mengi nina kila kitu include IMEI namba.
Habari za asubuhi wanaJF,
Majuzi nilipost kuwa nilikuwa nahitaji mtaalam wa kutengeneza health database. Nilipata msaada na asanteni kwa walioniandikia inbox.
Leo, nina hitaji lingine:
Health...
Salaam wadau,
Leo katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na hii habari ya ujio wa "Android 11" sasa najiuliza hawa Google vipi, Mbona Updates kila baada ya kipindi kifupi?
Binafsi hii...
Telegram ni instant messaging application software iliyokuwa encrypted (kwa kutumia MTproto protocol) kumuwezesha mtumiaji kuitumia kuwasiliana na mtu wa pili bila ya 3rd party kuweza kuyaingilia...
Habari wanajamvi,
Kuna wadau nimekutana nao hapa Ionic Woocommerce - Themes-Coder
Wanafanya kazi nzuri sana. Sasa kuna mteja alitaka kusubmit app yake, na hana ios/playstore credentials. Sasa...
Naombeni msaada wenu wakuu,
Nina friji/friza used kutoka UK, nimelitumia kwa takribani miaka 3 sasa na lilikuwa vizuri zaida ya jipya.
Lakini siku chache lilianza kupoteza nguvu ya uwezo wake...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Shida yangu ni moja tu nimesafiri nipo eneo ambalo internet ya halotel ipo chini sana yaan ina ishia 2G au ikigusa 3G mara moja moja sanaa ila mtandao ambao upo...
Habari ya leo,
nimekuwa mtumuaji wa TV hasa madishi ya FTA futi sita yale ya zamani yalikuwa hayaathiriwi na mawingu wala mvua. cha ajabu ving'amuzi ya ku-band hivi vidogo vya sasa havihimili hali...
Tecno Spark 4 air yangu inapata moto sana na kuishiwa na chaji hovyo
Hii simu inapata moto kila saa utashangaa inakwambia eti battery ipo na high temperature so remove battery na pia uchomoe...
Wakuu msaada . Simu yangu samsung note 5 touch yake hairespond na hata pen yake haifanyi kazi.
Je kwa wazoefu tatizo kama hili linatokana na nini na linatatulikaje? Gharama zake inaweze kuwa...
Kampuni ya Apple inayoproduce simu za iphone inaendelea nyanyasa kampuni zingine kubwa za simu kwenye mauzo kama samsung, oppo, huawei etc.
Hapa nitakupa stats za 2018 & 19 uone jinsi iphones...
Wakuu, nina adobe photoshop CS6. Hii ina size ya MB 73 tu. Inafanya kazi vema tu. Niliidownload kutoka kwa muhindi fulani huko Youtube. Sasa nikitafuta adobe nyingine naona ipo yenye size ya GB 1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.