Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Leo katika pitapita zangu kwenye WhatsApp status nikakutana na video moja ikionyesha jinsi simu aina ya iPhone 11 Pro kutoka Apple, wenyewe wanaiita macho matatu ikiwaka kwenye OS ya Android. Sasa...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Hello wadau, Mimi ni kijana umri miaka 40.natamani nijifunze kutengeneza simu hapo baadae nifungue ofisi yangu inshaalah! Naomba mwenye kunipatia ruhusa kujua hilo kiundani idea ya sayansi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kati ya inverter ya power transistor na inverter ya mosfet ipi bora na ipi ambayo haili sana moto? Maana nataka niunde mojawapo nikipata ufumbuzi kutoka kwenu wakuu. Sent using Jamii...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za Asubuhi Wakuu. Naomba niende kwenye Mada haraka haraka, ni kwamba nina printa ndogo ya ofisini aina ya Canon Selphy CP 1000 naitumia kwaajili ya kuprinti Passport Size, inatatizo la...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nilikua naangalia movie moja inaitwa knight rider ya mwaka 2008 mmoja wapo wa mastering ilikua ni gari linalojiendesha lenyewe nilitamani one day niweze kuona technology kama hio hatimaye imefika...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
A SIM Card is a Metal, covers with piece of plastic, we use to insert in mobile phone is know as Subscriber's Identity Module SIM was identified by two numbers that is Integrated circuit card...
6 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama ulishawahi kutaka kujifunza programming but hela ikawa ni kikwazo dont give up. Bado kuna njia nyingi za kuweza kutimiza ndoto zako. Fight upate laptop, modem and full internet conections...
45 Reactions
271 Replies
38K Views
Wakuu habariniii. Kwanza kabisa natoa shukrani kwa members wote wa jamii forum ,tangu nijiunge humu hakikaa sijajutia nmefahamu vingii sanaaa ..🙏🙏🙏 Mada inajieleze hapo juu ,,nawezaje kupata...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani nahitaji kuinstall App zaid ya moja zinazo fanana vipi Kuna ujuzi wowote? Chief Mkwawa na wengine karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kama kichwa kinavyoo jieleza hapo juu wengi wetu hutoka kapa na kujikuta tunaishia kubambikwa tu, ukishatumiwa bidhaa unakuta kinyume na mategemeo yako. Mfano: Resolution 1080p, battery...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hey Guys. Leo Nimewaletea Njia Watu Wengi Wasioijua Ya Jinsi Ya Kuseti Instagram Account Yako kulike posts za watu uliowafollow Automatically hivyo kukupunguzia mzigo wa kulike na Kukufanya uwe...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari zenu wadau.. Nahitaji mwenye Microsoft office bits ×64 anitumie link niweze kupakua.. Ila iwe ya free msaada wenu ni muhimu sana. KARIBUNI SANA Sent using Oppo A3s
0 Reactions
36 Replies
5K Views
Natafuta duka au mtu anayeuza vifaa vya HTC kwa kuwa specific natafuta power volume sensor flex cable sd memory card slot holder for htc one me m9ew km picha ifuatavyo inavyoonyesha anayeuza au...
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Hello, Cybergates Hapa watu wengi hasa wanaojifunza python programming wenyewe au online wanajua kuitumia kwenye console au compiler basi wengi wajatengeneza real project ata moja alafu...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa maana nimejaribu kugoogle bado maelezo ya huko hayajaniridhisha Cc@chiefmkwawa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Rwanda now Using High Tech Robots in the Fight against COVID-19 Robots are now part of Rwanda’s fight against COVID-19 and will help minimize risk of infections among health care workers...
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Wakuu naomba kufahamishwa hapo, coz simu yangu kuna baadhi baadhi ya option zimekimbia. Natumia Tecno
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Wakuu PC yang window 7 inatumia. Haifungui program baadhi ikiwemo virtual DJ na zingne nimeistall vizuri ila wakati wa kuopen inaandika hivi. "Dorectx failed to initialize please install the...
0 Reactions
2 Replies
994 Views
Msaada jinsi ya ku download WhatsApp kwenye Nokia Lumia 610. Pia namna ya ku connect internet maana inaunga internet kama itaunganishwa na WiFi ya simu nyingine. Msaada.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wataalamu simu yangu haifanyi kazi upande wa Hotspot na Bluetooth. Je, hii itakua ni tatizo gani? Na je linatatulika?
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom