Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimetoka kununua kispika ila nashindwa kutoa sauti mashine mzima kabisa kama inaonekana hana upande wa flash inasoma ila sauti ndo shida spika yake ya zamani ilitolewa mwenye kujua tafadhali...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaaam, poleni na swaumu. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.. Naomba kufahamishwa namna yakuipata simu ya IPHONE iliyoibiwa, mbinu zitumikazo kujua simu ilipo hadi kuipata. Natanguliza shukran
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Google wamiliki wa android wana simu ambazo ni nadra kuzikuta huku kwetu zinaitwa pixel. Pixel zinadizainiwa na kufanyiwa promotion na google wenyewe lakini wanaozalisha simu za pixel ni HTC...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada wakuu natata kutunza / upload notes je sehemu ipi ni UNLIMITED
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu kama nilivyoelezea hapo juu kama kuna anaejua jinsi ya activate Window 7
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Msaada online survey ni kitu gani na unafanya vipi kupata pesa ?? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
58 Replies
12K Views
Hivi ni kwa nini watumiaji wa tecno simu zenu huwa hazina update ya android version? Yaani kama ulinunua simu labda ina android 7, ili upate android 8, itakulazimu wewe kununua toleo jingine...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini za wakati huu ndugu wana bodi, natumaini mko vyema. Nina tatizo kidogo kwenye kuweka Antivirus (Kaspersky antivirus) kwenye desktop yenye window 8.1 pro.. Nimekuwa nikijaribu mara...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nina TV yangu outing smart sasa nunganisha hotspot internet inaonyesha kuconnect lakini hai browse. Yaani haifungui browser inasema nahitaji internet kwakweli nimeahindwa kung'amua naombeni...
0 Reactions
5 Replies
985 Views
Kama heading inavojieleza Nimejaribu kuutafuta humu bila mafanikio kwa yeyote atakaeweza kunisaidia link ya microsoft word ntamshukuru sana, nilipakua google word ya 2013 nashindwa kuitumia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nahitaji kifaa ya hii simu *display kioo* ZTE MODAL T3020 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
503 Views
Habari zenu ndugu mko poa?Naomba kuulizia kama kuna mtu anaweza nisaidia wapi nitapata kioo cha macbook pro retina inchi 13??? Naomba msaada tafadhari kwa hili
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Wakuu leo mchana nimeitumia fresh tu.. Nikaizima ila wakati nachomoa waya wa power ukagusa ile port ya vga kukatokea kama kishot kwa nje.. Sasa hivi nawasha haiwaki.. CHIEF MKWAWA na wengineo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za Musa huu wadau, Niliweka password Kwa harddrive yangu sasa nashangaa password zinakataa laptop ni Dell latitude naomba msaada kuelekezwa jinsi ya kuiformart au kuibypass maana hata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jinsi ya ku �root� simu yako ya Android. Utangulizi: Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani...
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Wasalam wakuu, Natumani mu wazima wa afya, hili tatizo linanitesa tokea jana kila nikiwasha computer inakomea hapo, nimeajribu kuwek CD ya window kusudi nishushe lakini bado mwisho wa siku...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu kwema, ebhana nahitaji kumfatilia mtu mpaka nimfikie alipo kwa kutumia simu au kifaa chochote ila uyu mtu hatumii simu ya smartphone anatumia simu ya kawaida ivyo naomba kwa yeyote mwenye...
3 Reactions
77 Replies
13K Views
Naomba kujua ninavyoweza kufuta account yangu moja twitter au ninavyoweza kublock account mojawapo maana ninazo mbali ila yapili sitaki kuitumia niliifungua nikiwa nje ya nchi sikutaka kutumia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu poleni na hongera zenu kwa ujenzi wa taifa. Mimi shida yangu ni [emoji116][emoji116][emoji116] Nipo nje ya nchi sasa yapata mwaka na nusu. nilikuwa natumia whatsapp vizuri tu bila shida...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau habari, Nataka kununua simu duka la tigo, sasa naomba ushauri kati ya tecno spark3 pro na samsung A10s maana zote naona sifa zinafanana. Nichukue ipi?
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom