Wakuu Habarini Poleni na Majukumu,
Ebana Nina tatizo hapa nahitaji msaada kwa yoyote mwenye Uelewa Zaidi juu ya Hili Jambo..
Juzi kati hapa mwezi wa Pili Nilinunua HDD mbili Zote TB 2 Kampuni ni...
Wanajamvini.
Mwenye kujua jinsi ya ku retrieve sms ambazo umefuta either WhatsApp au za kawaida kwa kupitia Google account (Gmail) naomba anielekeze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Kila ninapojaribu kuichaji simu yangu inaniandikia maneno hayo kwenye picha, hajaingia maji, nimejaribu kubadili chaja bado tatizo lipo palepale. Msaada wajuvi wa simu.
Sent...
Habari wakuu.
Sekta ya Web Design imetekwa na utitiri wa themes na templates zinazotumika kwenye cms na frameworks mbalimbali.
Katika pita pita yangu nilichobaini asilimia kubwa ya hizi themes...
Habari zenu wakuu? Poleni kwa mishemishe za kila siku za maisha na Mapambano dhidi ya COVID-19
kama kichwa cha thread kinavosema, ningeomba kwa wale wapenz wa Mockups tutumie uzi huu kushare...
Habarini wataalam. Nina desktop yangu. Nataka KUDOWNLOAD game ya EURO TRUCK SIMULATIOR.
Tafadhali mnisaidie link ambayo nikidownload nipate hiyo game free from charge. Specifications za computer...
Habari za jioni waheshimiwa wote humu ndani, nilikuwa nikiwaza ukienda youtube utaonda watu wameunda channel zao mbalimbali za games ambazo is very interesting pia wana community wanao submit clip...
Natafuta partform kwa kufanya investment yaan mfano kenya kuna hii reveal globally ambayo unaivest na unalipwa 10% tatizo ya hii reveal globally hii fanyi kazi njee ya kenya sasa mimi natafuta...
Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
Steve jobs aliyekuwa CEO wa apple inc alikuwa na msimamo mkali kwa android ambao ungeipeleka OS hiyo ya google kusuasua.
Kama ulikuwa ufahamu kuhusu vita hii basi ilikuwa hivi. Steve Jobs...
Tukiachana na layer na sifa zake kwa kuongezeka joto kadri mtu unavyo zidi teremka chini ya ardhi
Layer zenyewe zikiwa zinajulikana kama,
-mantle(2)
-crust(1)
-core(3)
Je unaisi itakuaje mtu...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo ..
Laptop yangu MINI dell inpiron haifanyi kazi pale pa kupapasa pamoja na right na left click zote .
Mpaka utumie mouse ya nje ..
Nimejaribu ku update driver ila...
Wakuu;
Naomba msaada wa namna ya kusolve suala hilo hapo juu. Kila ninapotaka ku issue command kwenye CMD promt maneno hayo yanajitokeza.
Nimejaribu kubadili user variables kwenye environmental...
Habari poleni na majukumu
Naenda straight to the point, hivi Kwa watumiaji wa android hivi ili niweze kujua I'd ya mtandao wa simu Kwa mtu ninaye mpigia mfano, Vodacom, Tigo, nk sababu zamani...
Msaada hapo juu kama mada inavyosema
Natumia audiomark app kupakua mp3 lakini naona baadhi za nyimbo hazipo kabisa . Mwenye kujua app nzuri naomba anisaidie kwa simu za iPhones.
Tuendelee...
Wakuu naomba msaada,
Niliupdate simu yangu aina ya samsung Galaxy J6 kutoka android 9 kwenda 10 baada ya hapo touch ikagoma mpaka sasa nimejaribu kufanya soft na hard reset zote zimegoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.