Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ukiingia tu uliza, swali lako, pia utajibiwa kwa sekunde pia weka ujuzi wako Pili kuna matatizo ambayo sitaweza kusolve kutokana na huduma hizo hulipiwa Mfano: Kuzuia matangazo-huduma hi...
11 Reactions
771 Replies
77K Views
Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha 255% AVAILABLE (PLUGGED IN) Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu naombeni kujua gharama za kutengeneza application ya smart phone na taratibu zake hadi ipandishwe play store
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Naomba kusaidiwa tatzo n nn kwnye pc yangu maama nikiiwasha inaniletea haya maneno[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] Its not over until its over...[emoji769]
0 Reactions
0 Replies
345 Views
Natafuta kifaa kidogo sana cha kurekodi sauti nachoweza ficha hata kwenye nguo, shuka, mezani n.k ningepata hapa Tanzania ingekuwa vyema.
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamu,kwenye setting za simu kuna hii kitu restrict app background data,je! ninatakiwa niweke on au off, naomba mwenye kufahamu aniweke sawa kwenye hili,asanteni.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
jamani nahitaji kujua jinsi ya ku install whatsapp kwenye pc inayotumia wondow 7 professional...nilijaribu ku install bluestack ili nitumie kudownload but bluestack imekataa ku install... nifanyaje
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Sababu wengi hawaijui telegram basi watabisha!Ila App ya telegram ni kiboko sababu hata kama huna members wa kuchat kwenye contacts zako,telegram ina channels na group ambazo unajiunga bila...
12 Reactions
149 Replies
45K Views
Habari wadau pc yangu nimeiwasha imeleta blue error kwenye screen, naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kurecover tatizo hili. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepeleka LG Tv yangu kwenye karakana ya duka la vifaa vya LG iliyopo mtaa wa Nkurumah Dar es Salaam, ili ipokelewe nimelipa Sh. 30,000/=. Baada ya muda wakanipigia simu gharama za matengenezo...
8 Reactions
73 Replies
10K Views
Nina channel ya videos lyrics youtube nimeomba maombi ya kua monitizer kisha nianze kulipwa baada ya muda jibu likarudi wakiniambia reuse content ikiwa amna hata video mona ikiwa na copyright...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wajuvi ,katika hii app mpya ya Zoom cloud meetings je unaeza kuextend izo 40 mins wanazokupa kama trial tofaut ka kufanya malipo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu👆 lengo langu ni kupewa msaada jinsi gani! Ntaweza kuweka picha na kwenye wasifu wangu! Na pia jinsi ya kuweka video JF na picha za habari tofauti tofauti...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wadau Kuna mbinu itasaidia katika kuweza kufungua na kucheza games ambazo zinaonekana kutofunguka...aidha iwe APK au zile za play store Hatia za kufuata>APK 1.download APK au xapk yote 2.baada ya...
4 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwa wale wenye uelewa na simu au iPad za kampuni ya apple naomba Msaada. Niko naweka iOS mpya kwenye iPad ya apple kwa kutumia program ya 3u tools ila nimekwama kwenda kwenye UFD Mode naomba...
0 Reactions
0 Replies
603 Views
Habari wana jf, Nimedownload music videos katika laptop yangu shida inakuja pale ninapoweka katika flash ili niangalie kupitia dvd napata message not supported. Nashindwa kuelewa tatizo nini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf, Nilikuwa naomba nipate msaada kuhusu computer hardware mimi sina uzoefu sana na I.C.T ila niko inspired nayo shada ni C.P.U yangu ni aina ya DELL dimension 4100 kiukweli ni...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni simple sana kama unatumia wi-fi adapter au computer tayari ina wifi. Basi ni rahisi sana unaweza display ya smartphone kuihamishia kwenye pc au ya pc kuihamishia kwenye simu na vile vile...
12 Reactions
41 Replies
10K Views
Wakuu natumai mu salama ! ! Nina gari aina ya mini pajero 3 door ni auto gearbox ina tatizo kuchelewa katika mwendo kwa kulingana na mzunguko/mlio wa engine, yaani gari...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Waungwana msaada tafadhali. Kuna laptop dell latitude/ D830 zile za kizamani imegoma kuwaka, Mwanzo wa tatizo Madogo walikua wanangalia movie,ikazima kutokana na charge kuisha maana umeme...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom