Wazee, kama inavoonekana hapo kwa tittle.
Nilikua na ndoto yakuwa blogger na nashkuru kwa uwezo m/mungu nilifanikiwa na nikawa monetized na kampuni ya Adsense. Ila nimepitia challenge kubwa sana...
Nawasalimu nguli wa jukwaa hili.
Tatizo langu. Nina account ya mail yahoo. Password ninazo jina la account ninalo.
Nimeshindwa kusign in.. wananiuliza simu sijui ilipo...namba ya simu sijui hata...
Haya sasa wale wakongwe wa TunnelGuru na wale wanaotaka kujiunga na Internet bila kikomo nawaleteeni hii kitu kipya ambacho nime target zile backsides zote za TunnelGuru na kuziondoa kuhakikisha...
Kumekuwa na habari kuwa namba ya wagonjwa wa Corona walioambukizwa, wanaoumwa, waliopona na waliofariki inakuwa understated na serikali. Naamini si mpango wa serikali kutoa data ambazo si za kweli...
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili. Ni matumaini yangu mnaendelea kuchukua tahadhari dhidi ya covid 19.
Lengo la kuja hapa ni kuomba kueleweshwa. Ninaanza kwa kutoa mfano; nina mashamba kumi...
Halo wana JF kwa wale wapenda Mziki kama Mm.
Nina mpango wa Kununua Soundbar, ila nina tatizo la kujua ni ipi yenye kiwango kizuri cha Sound especially wakati wa kusikiliza Muziki na Movie...
Nimecreate account ya Google kwenye simu yangu lakini kila nipotaka kuinstall fail kutoka Google naambiwa kuwa account yangu haija access so sijui nifanyeje
Habari za muda huu wadau,
Nilikuwa natumia Tecno W4 kwa mUda mrefu kidogo, lakini ghafla ilianza kupunguza muda wa kukaa na chaji na mwisho kabisa ikawa haichaji.
Inawasha kitaa chekundu kwa...
Hivi karibuni Apple watatoa Update ya IoS 13.5 ambayo itaruhusu kufungua simu kwa FaceID hata kwa mtu aliyevaa barakoa. Hii ni kutokana na janga hili la corona ambapo maelekezo Mengi ya kitabibu...
Heshima kwenu wakuu.
Nimeona features mpya za YoWhatsapp nikasema nije kuuliza kwa wadau kuwa hizi zinakuwa by default au mpaka u-set sehemu...?
Na pia, kama hiyo feature ya kwanza inayosema...
Mwishoni mwa mwezi March Kampuni ya Huawei imeendelea kutoa matoleo yao mapya ya simu kwa upande wa P series. Na kwa sasa wamekuja na P40 series ambapo wametoa Huawei P40 lite, P40 lite E, P40...
Husika na mada tajwa hapo juu,ninaomba kujuzwa namna ya ku extract ISO game (japo hii naiweza lakini ni kwa faida ya wengine) na kinachofuata baada ya hapo maana inaniletea ugumu nakuwa siwezi...
Hivi hizi program huwa zinafanya kazi kweli kama ya kufuta na Ku boost memory au huwa ni danganya toto. Mi huwa sielewi eti ukigusa unashangaa roketi linapaa
Ukweli ni kwamba Tecno japo ni simu ya wengi, ni simu ambayo bado haijaingia kwenye international standards kiasi ukitaka kufanya mabadiliko ya hapa na pale inakuwa ngumu kutiririka kama ilivyo...
Niliweka external katika PC yenye virus, mafaili yakaliwa, baadae nilioscan na kaspersky yakarudi baadhi tu tena yamekaa katika file moja limeandikwa Trashes, kisha kukawa na file.lingine...
Leo ningependa niandike kuhusu battery health kuanzia 100% to 86% siku hizi imeibuka tabia ya watumiaji wa iphone ukimuzia simu cha kwanza ana kimbilia kutazama battery health kwa lugha isiyo...
habari wakuu,
Naomba msaada kwa anayejua namna ya kufanya intergration ya payment gateways za hawa pesapal katika hii project iliyokua developed kwa laravel nawasilisha kwa mwenye kujua msaada...
Hello wana Tech wote out there!! Below is a 2D animation i've been working with for sometime! Lakini I RAN INTO MAJOR PROBLEM, software ilicrush violently nlipokua na save project!! The whole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.