Naomba msaada wa (Computer Networking)
Kuna Computer Desktop 4, kuna network Switch, UTP cables na USB broadband modem dongle.
Nahitaji kuziunganisha hizi PC zote ili zipate internet kwa kutumia...
Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer.
Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi.
Kweli...
Brackberry moja ya kampuni iliyouza smartphones kwa sehemu kubwa ya dunia. Unaikumbuka app ya BBM ilivyokuwa inaelekea kuipeteza facebook.
Ilifika hatua brackbeery ilikuwa na marketshare ya zaidi...
Habarini wataalam,
Ningependa kufahamu techology gani nzuri sana kwa kutengeneza simple web system kama:-
System ya Saccoss
System ya Phamarcy
Nk
Ipo nzuri kati ya hizi kutumia :-
Laravel
Nodejs...
Naomba msaada jinsi gan naweza kuepukana na hii ban sijawahi tumia aina nyingine ya WhatsApp kama Gb WhatsApp kweny Sim yangu anae jua njia za kufuata anipe muongozo
Naomba msaada wanajamii Laptop yangu aina ya DELL imekata sauti ghafla mara tu baada ya kuchomeka waya ya two in one ili kuunga kwenda kwenye Subwoofer.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wataalam wa umeme nina adapta yangu inatoa umeme v12 sasa nataka niitumie kama chaja ya laptop ambayo inapokea votts 19. Hamna namna naweza kuifanyia makeke ikatoa v 19.
Maana vingine vyote kama...
Hi guys simu yangu imepata shida ,nikipigiwa wanadai inaita Mara moja na kusema namba iko busy.
Na hii ni kwa line zote kila mtu anaepiga anasema hivyo.Ila Mimi nikipiga hakuna shida yeyote...
Habari zenu bandugu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Leo nipo chini ya miguu yenu. Nahitaji msaada kutoka kwenu.
Najua hapa kuna watu wenye roho nzuri na siyo wachoyo wa maarifa.
Hivi...
Wakuu habari, tafadhali naombeni msaada kwa muda sasa kila ninapojaribu kusign in kwenye Instagram account yangu inaniambia 'An unkown network error has occured'.
Msaada nimejaribu ku uninstall...
Habari nahitaji pata mawasiliano yangu ya nyuma kutoka mtandao wa tigo, kwa namba fulani tu, utaratibu ukoje na gharama yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau, bila shaka Jumatatu inaenda vyema.
Kumekuwa na taarifa kuwa mtandao maarufu wa Instagram unatarajia kuanza mchakato wa majaribio ya kuficha 'likes' kwenye post.
CEO wa...
Habar za humu natumaini mu wazima kiasi japo tupo kwenye kipindi kigumu naomba kufahamu au kujulishwa game nzuri za kucheza kwenye simu ambazo ziko offline natumain nimeeleweka waajuzi mtanijuza...
Habari humu wakuu,
Nina flash yangu imeandikwa HP inasoma kwenye computer tu ,ila ukiweka kwenye deck au tv haisomi, mwenye ujuzi wa kuiwezesha isome kwenyevtv/deck anisaidie.
Sent using Jamii...
Wakuu,
Naombeni msaada wa haraka,
Jana nilimtuma mtoto akaweke umeme kwenye mita ya luku sasa wakati wa kuingiza nadhani alikosea mara nyingi lakini umeme ulikubali kuingia.
Sasa shida ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.