Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu nawasalimu na natumaini wote ni wazima. Mimi si web developer lakini Nina uzoefu kidogo wa kutengeneza websites kwa kutumia themes za WordPress. Nahitaji kutengeneza website inayofanana na...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa unlocking codes za iz nokia nilinunua kwa ajili ya mawasiliano zaid nkaweka laini zangu baada ya muda nkahamisha kuweka kwenye simu kubwa kuanzia hapo nkiweka simcard tofaut...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari! Naomba mwenye uwezo wa kunisaidia link za Live TV cha channel za hapa Tanzania hasa: - TBC - ITV - Wasafi - Clouds - Star TV na channel za kiswahili zilizomo kwenye king'amuzi za Azam.
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Msaada, kwa anayejua ant virus ambayo inafanya kazi vizuri kwenye simu. Na naipata wapi?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Poleni na mfungo wa maombi ya kitaifa. Leo siku ya pili,na mimi sijawaangusha mana naomba haswaa. Tanzania bila corona inawezekana. Nije kwenye mada: Nimebangaiza vijisenti kwa muda nikaona...
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Uchaguzi wa laptop nzuri ni miungoni swala moja wapo muhimu sana hususani kwa graphics designers pamoja na sounds producers bila kuwasahau watu wa maswala ya IT. Sasa kama graphics designer...
1 Reactions
51 Replies
8K Views
Nahitaji kuunganisha MB za simu moja zitumike kwa simu mbili tofauti. Mwenye huelewa anijuze. Asanteni Sent using Jamii Forums mobile app === Washa Hotspot kwenye simu yenye bundle la internet...
0 Reactions
32 Replies
2K Views
Nimewasha hii HTC inaonekana hivi nisaidie jamani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama kichwa kinavojieleza, naomba mwenye ujuzi anisaidie jinsi ya kuconnect bluetooth via STAR X smart tv. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Habarini wataalamu, Jana kuna settings nilikuwa nafanya kwenye BIOS, nadhani hapo ndipo tatizo lilipotokea, maana niliporudi huku kwenye desktop, WI-FI ikapotea kabisa. Naombeni msaada au maelezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta fundi wa Invetor Pure sine wave, Ina Tatizo dogo la Umeme Hautulii na display yake ina blink wakati relay nayo inakuwa ina funga na kufungua hivyo kunakuwa na On and Off in multiple...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kama tangazo linavyosema nahitaji simu hiyo hapo juu. Hii simu yangu haina tatizo lolote ni yangu nina kila kitu chake hadi stakabadhi niliponunulia utapata. kwanini A9 pro 2016 hii simu...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
hizi ni moja ya torrent hata uki google kizipata kwake sio kirahisi na hata ukizipata zingine zipo locked huwezi ingia mpka invitation upate mfano 1. na ukienda hapo register itakupa ivi 2. leo...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Nikiwa kama muhasibu excel 2007 nimeizoea na wala sijaona ikinikwamisha kwa lolote, Ina size ndogo na haijazi pc na inanifaa, Kuna wenzangu hapa ofisini mbwembwe ibao na excelo hizi za mwaka 2018...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kama tujuavyo kuna windows mbalimbali kwa matumizi tofautitofauti, sasa nataka kujua ni window gani nzuri zaidi maana PC yangu ina window 8.1 lakini kuna baadhi ya software hazifanyi kazi mfano...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Natumaini hamjambo na mnaendelea vizuri na mapambano ya Corona tumwombe mola atatusaidia. Niende kwenye mada ni wiki mbili zimepita tangu niibiwe simu yangu na vibaka sikutaka kuifuatilia kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wakuu, Naomba msaada kwa yoyote anaeweza kunuelekeza kutumia Gani kuunganisha vitu mbali mbali anipe ujuzi Asanteni
1 Reactions
4 Replies
3K Views
jaman mimi nina itaj msaada,nmemalza 4m4 mwaka jana na nina bios-C,chem-C,math-D,english-B.naitaj kusoma clinical officer.je application zna anza lini,ada ni shingap kwa government,na naomba kujua...
0 Reactions
1 Replies
615 Views
Habari wakuu? Msaada wenu nimepewa Mac ambayo haijatumika muda mrefu kidg ukiwasha kinakuja kialama cha question mark. Sasa katika kuchokonoa na kiufahamu changu kidogo nimefika eneo la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu msaada, simu yangu Tecno Camon 12 iliingiliwa na maji ya mvua pindi ikiwa mfukoni. Niliitoa nakuendelea kuitumia (hapa sikujua kama maji yameeingia). Baada ya muda screen ilianzaa kuonyesha...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom