Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Would you know specifications of such a laptop napata for how much? HP celeron 1.6ghz,4gbram,500harddisk, 15.6 screen, webcam, wifi, bluetooth Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
918 Views
Wadau kila mwenye huitaji wa course ya Security, Networks ili tuwe tunasaidiana, au unakuwa free course au coupon za course za tech udemy, eduonix basi apost mi naanza, mwenye hiki kitabu anisaidie
0 Reactions
6 Replies
989 Views
Habari zenu wana jamvi wa jf, namshukuru Mungu aliyetujaalia pumzi. Matumaini yangu mapambano (dhidi ya Covid-19) yanaendelea. Tukiachana na hayo katika kutaka kuingia kwenye mambo ya technology...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Wadau natafuta mtu professional anaetengeneza application: iOS, Android, tukae round table tuongee biashara. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
912 Views
Error inaonekana hapo chini kwenye Terminal, naisolve nmana gani?
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Ambaye ameshafanikiwa ku-upgrade from Android 9 atusaidie sisi wengine. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau nadhani mnaendelea vizuri pamoja na kukumbwa na hili janga la dunia la COVID-19, Kuna swala linaniumiza kichwa la taarifa za miamala ya line yangu ya simu kujulikana kwa mtu mwingine...
0 Reactions
3 Replies
932 Views
Kwa wale wapenzi wa Nokia , baada ya kutoa Nokia 6, 5 na 3, Nokia ametoa flagship yake tayari. Naona ametembea mulemule kwa kama wadau walivyotarajia. Camera ametumia Zeiss optics, Processor...
0 Reactions
76 Replies
12K Views
Wakuu, inawezekana kubadilisha IMEI ya simu? Nina simu ya Samsung Note 2 ila imei ya kichina kwa hiyo inasumbua katika kutumia. Je, naweza nikapata msaada? === MAONI YALIYOTOLEWA NA WADAU...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
Nimekuwa mtumiaji wa Samsung A-series tangu za 2015, hizi ni mid-range Samsung smartphone, na wamekuwa wakizibadilisha muonekano mwaka kwa mwaka (binafsi toleo la A-series la 2016 ndio bora...
21 Reactions
118 Replies
19K Views
Msaada wa kutatua hili tatizo Unfortunately Voice Command has stopped kwenye simu ya tecno C8.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani kwanza habarini wote, Ningependa kufahamishwa jinsi ya kuweka link ya vitu mbalimbali kwani tatizo hili limesababisha baadhi yetu kuweka habari ambazo hazijakamilika humu. Asanteni...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Mambo vipi wakuu? Natumia simu ya Nokia 6.1 Android, nimenunua mwaka jana mwezi July. Kwanza Imeanza tatizo kwenye speaker, nikicheza video au audio kwa sauti kubwa inakwama kwama mpaka nipunguze...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina simu yangu HTC one ni simu ninayoipenda sana sana sana, lakini imepatwa na tatizo..mara ya mwisho ilikuwa inachemka sana nikitumia kwa muda mrefu na ile screen yake inaonyesha kama kuungua...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Imestack ukiiwasha inawaka lakini inaleta maelezo kama haya katika picha haiendi popote wala kufanya chochote na hayo maandish hayatoki. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Habarini wakuu,wakubwa zangu shikamoni, Nina modem yangu ya huawei Airtel iko cracked kusoma mitandao yote, hapo awali ilifanya kazi vizuri katika computer zenye window7 8 & 10 lkn sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Mwenye uelewa na revenuehits ads anieleweshe maana naona dashboard inasoma 00
0 Reactions
2 Replies
766 Views
Nataka kuanza kutengeneza mobile games za kitanzania. Je, unahisi games ziweje ili ziweze kupendwa na Watanzania wengi. Wenye mawazo n.k karibuni.
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu habari na poleni na qurantine ya corona, naomba kuwasilisha swali langu kwenu niweze pata usaidizi nlipokwama. Kuna application ya traktor dj 2 watu wa Dj'ing mnaelewa ni kitu gani...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Niko Bukoba, nna smart-tv ambayo napenda niwe naitumia pia kwa ajili ya kustream movies, na live events ila simu yangu ya infinix imeprove failure kwenye hilo, natumia voda line ya 4G ila 4G...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Back
Top Bottom