Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari jamii, kwa Software Developers hapa ningependa kujua kama kuna waliowahi kutumia Elasticsearch. Uliitumia kutatua tatizo gani?
0 Reactions
2 Replies
773 Views
Sitakupa maelezo marefu sana ya kupoteza muda wako, ila umakini na faragha ni muhimu sana nyakati hizi za kimageuzi ya mitandao na ukuaji wa teknolojia. Kwa watumiaji wa vifaa ya kimtandao kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za muda huu wadau? Kwanza nawatakien heri ya pasaka na pia niwape pole kwa janga la corona linalotesa dunia kwasasa. Bila ya kuwachosha, wakuu wangu najitokeza kwenu kuwaomba mnisaidie...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wadau habari za majukumu kwa muda mrefu? Nimekuwa napata changamoto sijui wenzangu mmewezaje kupata hii kaspersky antivirus kwa ajiri ya biashara nikiangalia bei za mtandaoni naona ya pc 10 ni...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Nimewahi tumia dating app moja huko zamani ilikuwa inakitu natamani nikipata kwenye application ingine.. Ilikuwa kama kuna member wa hiyo site near you inakupa alert. Au ume bump na mtu eneo...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Poleni na mapambano ya Covid-19,naomba mapendekezo ya simu nzuri ninayoweza kununua kwa budget ya 800K mpk 1M. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna dogo nilimpa PC yangu ashushe Windows, ameformat local disk C na D ambayo ilkua na data zangu. Kuna namna naweza recover hizi data za local disk D? Msaada
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada wakuu, Tv ni LG led, inaketa huu ujumbe na hakuna kunachoendelea, naomba kujua njia ya kutatua hili kabla sijaenda kwa mafundi wakaanza kuifungua fungua.
0 Reactions
4 Replies
941 Views
Wanajukwaa naombeni msaada juu ya kupata "CI MODULE" ya receiver maana nimepata tv ikiwa na DVB-t Receiver ndani yake na baada ya ku-searche nilibahatika kupata jumra ya channels 56 yaani za ndani...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu heri ya pasaka na poleni wote mnaoishi mabondeni kwa wazazi wa Dar kwa mvua hii inayoendelea. Pia tusisahau kuchukua tahadhari dhidi ya kujikinga na ugonjwa hatari wa korona. Turejee...
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Jamani wapendwa mimi ni mpenzi wa NBA. Ila sasa sijui ni wapi ntatizama game angalau nne kwa wiki. Maana tv1 wanaonesha mbili tu kwa wiki halafu wanachaguliwa na kwese ipi waionyeshe. Mimi najua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Kama inavoonesha hapo katika kichwa cha habari. Nimetimiza pesa yangu katika Adsense na nataka kuitowa kwa njia ya Western Union, Swali langu je nini chakuzingatia mpaka pesa...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za kazi wakuu, Nimekuwa nikitafuta alternative ya kikuu kuachana na aliexpress kwani kikuu vitu vunawai derived lakini tatizo bidhaa nyingi hakuna hasa za electronic na aliexpress zipo...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nina Danfoss vlt Fc 301. Keenye parameter za minmum na maximum speed references 3-02 na 3-03 ipo katika unit ya RPM. Nataka kubadili unit iwe katika HZ(Frequence) ambayo ndio default...
0 Reactions
0 Replies
641 Views
Wakuu, Naomba kujuzwa kuhusu sheria iliyowekwa hapa Tanzania ya kupost content kwenye youtube channel. Je, ni content za aina gani ambazo zinapaswa kulipiwa hiyo tshs 1,000,000 au labda ni...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ndugu zangu habari za kutwa....sasa samahani wale wazoefu wa printer....swali langu ni ukihitaji kununua printer epson l382 ni sehemu zipi za kukagua ili kujua printer ni nzuri? Sent using Jamii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wanajf laptop yangu ina tatizo la sauti yaani haitoi sauti kuanzia kwenye spika hadi kwenye earphone laptop yenyewe ni sony vaio. je nifanyeje what is the possible solution? thanks in advance
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Kuna Samsung Note 4 nilimpa mtu ikiwa safi kabisa Ila baada ya muda akaniletea malalamiko kuwa inajizima baada ya muda fulani hivyo nikamuelekeza aende kwa fundi. Kwa kifupi, alipotoka kwa Fundi...
0 Reactions
43 Replies
5K Views
Ndugu wadau wa jf naomba mwenyekujua bei ya simu hii iphone 8, mpya originala. Kingine naomba mwenyekujua hii simu anijuze nataka kutumia hii simu ikoje katika matumizi yake kati ya hii iphone 8...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wakuu..Nina laptop ya Dell..nimeiwasha Jana iliandika maneno hayo.msaada tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom