Habari wadau!
Nimeona nije kwenye jukwaa hili ili niweze kufaham mengi zaidi. Mimi ni muumini wa kuangalia videos mbalimbali kule 'YouTube' hasa zinazohusu technology, (homemade). Sasa katika...
Jamani naomba mnisaidie matatizo haya kwe HP laptop
1. cursor inaganda na kutembea hovyo kwenye monitor kila nikichomeka adapter kuchaji hivyo inanilazimu kuchaji ndio nitumie tatizo limeanza...
Laptop yangu ilikua inafanya kazi vizuri lakini siku za karibuni imekua inajizima ikifikia charge 80%.
Tatizo linakuwa nini wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu naomba maujanja ya app au technical kuhusu hii simu yangu
Hii simu ni note 4 nilinunua India sasa kwa kule nilikuwa napata 4g vizuri but kwa hapa bongo nashindwa kupata 4g kabisa sijui...
Habari wadau wa Jukwaa hili, natafuta "Sim Card Tray" ya simu hii aina ya Nokia 6.1. Kama kuna yeyote mwenye nayo au anielekeze kwa mtu ambaye anaweza kunisaidia tafadhali.
Natanguliza Shukrani...
Habari wana Jamii Forums naomba msaada mwenye kujua nina simu mpya ya Samsung S8 inashika network ya Tigo na Voda lakimi haushiki Halotel ambao ndo mtandao ambao uko available sehemu ninayoishi...
Nili delete kimakosa, kazi iliyokuwa kwenye word, nimetumia app ya imyphone anyrecover, kuzirudisha documents kwenye computer, maana hata kwenye recycle Bin, hazikuwemo.
Document, zimerudi...
Nina laptop yangu Hp jana ilizima gafla kuiwasha inawaka ila haitoi mwanga kwenye screen pia feni inazunguka kwa kasi sana. Msaada tatizo linaweza kuwa ni nini?
Do u find it difficult to pay for udemy courses? Then follow the few steps to download any paid udemy course of your choice:
step one
-Go to udemy site.the search for any course your choice eg...
Habari
Nina Tv Hisense inch 43 nikiconnect kwenye HDMI (Dstv) inasoma/inaandika picha 1920×1080.
Nikifungua video (ya ndani ya tv) ya promo ya tv yake inaonyesha picture quality sana sana isivyo...
Naombeni msaada kwa mwenye uelewa na jambo hili kila ninapochomeka adapter ili niweze kucharge huwa cursor inaganda na ninashindwa kuendelea na kazi hadi pale inapojaa na kuichomoa kwenye moto...
Habar za muda huu wakuu.
Naombeni ufahamu zaidi juu ya hiki kifaa
Hii ni friedge ama fridge freezer kampuni ya siemens sasa nikifungua mlango wa fridge kwa juu nakuta hiki kifaa ambacho na imani...
Idadi ya watu waliolike page yangu ni 25k lakin toka juzi idadi ya watu wanaoreach post yangu imepungua kabisa na kuwa 0 hadi mtu moja tofauti na mwanzo idadi ya watu wanaoreach ilikuwa kubwa...
Habari zenu wana jamvi,
Matumaini yangu muwazima . Straight to the point hivi juzi juzi nilipiga windows 10 kwenye laptop yangu ni ya 2015 ila cha ajabu ni kwamba windows hiyo haikuwa na...
Habari zenu wana JF, naombeni msaada, simu yangu (handset) aina ya BONTEL yenye line ya airtel watu kila wakinipigia wanajibiwa inatumika tu, na wakati si kweli.
Pia nikiotoa line na kuiweka...
Ni siku ya tatu sasa, king'amuzi cha startimes kimekuwa hakionyeshi chaneli za tz kama vile tbc, startv, itv n.k. Cha ajabu ni kuwa, chaneli hizo hazipo hata kwenye ile orodha ya kuchagua chaneli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.