Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba tusaidieni kwa hili. Ni ipi software nzuri ya kutengeneza video na ku-design kama wanavyo design Kwenye TV like.. EATV, STAR TV etc.. Wakuu nisaidieni please!.. Wakuu naomba...
1 Reactions
54 Replies
21K Views
Ipo katika condition nzuri haijatumika sana haina ubovu wowote unatesti kwanza ndo unachukua mzigo bei nafuu kwa mawasiliano 0625489620
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu habari ya leo? Simu yangu inanigomea kupakua app toka play store. Kama kuna mtu mwenye kujua mbadala wa play store and utatuzi kuweza kuifanya play store kuendelea kufanya kazi naomba...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Test Duka App kwa play store. Nametumia React native technology wanayoitumia Facebook na apps zake kama Instagram na nyingine kibao. Kwa yeyote anayehitaji app Android pamoja na iOS tuwasiliane...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu mafundi wa Electronics naomba kujua ni matatizo gani hasa yanayozikabili hizi mashine za kampuni ya Gordak zinazotumika kwa ajili ya kazi mbalimbali katika kufanikisha baadhi ya kazi za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ipi simu nzuri kati ya Xiaomi Note 8, Infinix 5 na Tecno 12 Pro. Au company ipi nzuri ya simu kati ya hizo? Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
42 Replies
11K Views
Wadau najua teknolojia inakuwa kwa kasi sana na kuna vingi vipya vya kujifunza kila uchao. Mie ni muhenga ila napenda sana mziki mkubwa. Kuna hii teknolojia ya Bluetooth speaker je nzuri ni zipi...
1 Reactions
82 Replies
25K Views
Habari, Kumekua na tatizo ktk nyumba yangu ni kwamba kukiwa na radi husababisha circuit breaker kujikata ila hali ya radi ikitoweka umeme unatumika kama kawaida pasipo circuit br kujikata, ni...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari JF, Natumai wote hamjambo na mko njema kabisa! Na kama ni hivyo ashukuriwe bwana.. Sina Mengi sana zaidi niko na jambo moja nataka kuwafahamisha ndugu woote walioziweka hizo simu (...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana jamii forum natumaini wengi wenu ni wazima, naomba mnisaidie nataka kununua simu ya sumsung ya laki 5 au 6, ambayo inakaa na charge siku nzima ninatumia sumsung galax j7 prime...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mambo vipi Wakuu? Tunajua spika zinzotoa muziki mzuri wa earth-shaking bass zinaanzia 600W RMS na kuendelea, lakini FM radios, soundbars, subwoofers, hi-fi na home theater systems zenye uwezo huu...
1 Reactions
9 Replies
11K Views
Habari za jioni ndugu zangu, naomba kama kuna mtaalaamu wa kufunga GPS tracking za vyombo vya usafiri mfano boda boda na bajaji na magari namuomba tuwasiliane aje PM tuyajenge. Angalizo: Sihitaji...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF, natanguliza shukrani za dhati kwenu. Pia, tuzidi kumuomba Mungu kwa kipindi hiki kizito tunachopitia #Covid19 MADA Kama ilivyo ainishwa hapo juu, nina tatizo la kufanya screen recording...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna kaka yangu alikuwa ni fundi wa ICT Sasa alisafiri kwenda Italy kutafuta life mwaka 2015 ndio akaniachia hivi vifaa while I'm not interested in ICT. Kama unatakitaka find me on Whatsapp...
4 Reactions
54 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu. Naomba link ya kudownload latest firmware kwa ajili ya samsung s8+ sm-g955f. Nitashukuru sana kwa msaada wenu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
2K Views
wapendwa naomba msaada wa jinsi ya kuactivate windows 10Pro , key nimezipoteza na ina expire soon.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu toka nimenunua hii kitu G6 kiukweli sijawahi kufurahia maisha kabisa na siku zinavyo sogea ndio hali inazidi kuwa mbaya, Yafuatayo ni matatizo yanayoninyima raha na kuwa karaha Mosi...
0 Reactions
49 Replies
5K Views
Wazee wa iOS nataka kununua simu ya iphone 7 vipi kuhusu ubora wa betri na camera naomba mawazo yenu kabla sijaingia dukani. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari za muda huu wakuu, Wale wakuu wa kudownload huku na kule bila shaka watakuwa wanaijua website ya www.1337X. Humu kuna apps nazihitaji. Ila tatizo ni kwamba nashindwa kudownload...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa watu wenye uelewa wa hili tatizo naombeni mnisaidie, Video ninazozirekodi na simu yangu ya Samsung huwa haziplay vizuri kwenye computer, video ina play kisha inasimama simama wakati track bar...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Back
Top Bottom