Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wataalam kuna kitu nilikuwa nataka tujalibu kusaidiana hapa juu ya matatizo ya transimission kwenye rav 4 ila tatizo hili hasa lipo kwenye rav 4 kuanzia kwenye family ya S mpaka family ya Z ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naombeni kujua hii kitu ni nini na ina faida gani kwenye ulimwengu wa TV wazee maana naona zina trend sana siku hizi
0 Reactions
8 Replies
5K Views
wakuu mambo vipi ..nahitaji adapter ya asus asus tp 200s mwenye nayo ni PM
0 Reactions
0 Replies
569 Views
Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili tatizo.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu ningependa mnidmfahamishe ninunue laptop ambayo matumizi yake yatakuwa ni kudownload na kuangalia movies nyimbo pamoja na kucheza games Je niangalie specs gani na gharama zake ni kiasi...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Wadau naomba kujua namna ninavyoweza ku link mistari ya biblia kwenye document ya word, yaani nikiweka link mtu akigusa inampeleka kwenye mstari huo wa biblia. Mf; soma Yohana 3;7. Natanguliza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wataalamu wa Jf naomba mnisaidie jinsi ya kukopi na kupaste Thl notes ili niweze kuzisoma muda wote na kuongeza hints ambazo zranisaidia kufundishia.nmejaribu kucopy na kuzipaste lakini inaonekana...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habari wakuu, king'amuzi cha zuku kushindwa kudaka signal ili hali dishi limetegwa vizuri na ving'amuzi vingine vikikamata katika dishi hilohilo, tatizo inaweza kuwa ni nini?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wadau.. Fundi ninae mtegemea kasafiri na dish langu lilicheza kidogo, Nimejaribu kuliweka sawa ila signal napata intensity 80% na signal 45%, kuna Baadhi ya channel chache hazioneshi na...
0 Reactions
1 Replies
10K Views
Habari wakuu, natumia PC HP probook g2 430, nilivyonunua ilikua na window 10 pro, sasa baada ya matumizi nikajikuta wakati nilikua badilisha window,nikiri wakat naistall nilikua nachomeka tu...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Hope mko poa wadau, Naomba msaada kwa anaejua hili tatizo kwenye simu yangu ya Android,Infinix Hot S3. ni kwamba nikiwasha Hotspot ili niweze kushare internet kwenye computer yangu au hata device...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salam ya kicovid19 kwenu,I think mko poa sana wana jf,....... Bila kung'ata meno, kutingisha sharubu,kupepesa macho plz msaaada... Mwenye app au jina LA app ambayo unaweza ukatambua au kuzuia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina laptop unayotumia adapter ya USB type C na simu ya charger ya USB type C. Sasa naomba kuuliza je naweza kutumia hii adapter laptop kuchhaji simu? Kuna siku nilijaribu ila ofisini pale mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu bila shaka ni wazima wa afya nina suala moja hapa linaniumiza kichwa na kukwamisha project yangu nimeandaa nimeandaa platformya e-commerce utendaji kazi wake ni ule ule wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu mabibi na mabwana, Nahitaji fundi humu ndani wa kunisetia dishi langu la Azam, limeanza kunisumbua baada ya mvua za majuzi kupita, Aliye ni fundi humu ndani wa dishi ani pm, nipo Dar...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JINSI YA KUTUMIA AU KUANGALIA CHANNEL ZA DSTV KWENYE SIMU YAKO YA SMARTPHONE [emoji336] AMA COMPUTER [emoji985] NA LAPTOP IWE YA IPHONE, IPAD, TABLET HATA KAMA HUNA KING'AMZI CHA DSTV Kwanza...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
habari zenu wanajukwaa hili natumaini mko poa. poleni na majukumu yenu ya kila siku ikiwa ni pamoja na kujikinga na corona straight to the point, sim yangu inatatizo la kustuck mara kwa mara sasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Msaada wakuu. Simu yangu aina ya infinix note 2 inakubali kusoma laini moja tu,simu ni ya laini 2. Laini inayokubali kusoma ni laini ya TTCL tu. Laini zingine zinasoma lakini mtandao...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa muda nimekua nikisaka bluetooth typing keyboard nzuri, kiasi kwamba nikiingia kwanye maduka ya vifaa hivyo wakiniona tu wananiambia "Keyboards hazipo". Mara nyingine nimejaribu kununua...
5 Reactions
15 Replies
3K Views
Yale mambo tunayoyasoma kwamba kuna sayari nyingi tu zaidi ya hii tunayoishi ni kweli... wanasayansi wa dunia wanafanya maandalizi ya mwisho ili kumpeleka binadamu wa kwanza kwenda kuishi sayari...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Back
Top Bottom