Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Primo imepigwa pini na 2ndline, naomba msaada wowote wa namna ya kupata number fake ya whatsapp wababe ambayo itakuwa free and easy kutokana na weird whatsapp restrictions. YouTube pamenishinda...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Naombeni msaada jamani wataalamu.nataka kufungua ofisi ya kutengeneza simu.je ni kitu kipi kinahitajika ili niweze kuflash simu za aina zote?je hata nikinunua box moja tu ya universal inatosha...
8 Reactions
127 Replies
93K Views
Salaam wadau... Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana hasa wahitimu wa kutoka vyuoni, nimeamua kujiajiri wakati nasubiri matokeo ya maombi ya kazi niliyotuma. Kuliko kupoteza muda kwa...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Jaman ndugu zangu waTanzania na wataalamu wa technology naomba msaada juu ya hii app navyosikia unaweza tumia unlimited data kuperuzi internet, for free, tatizo ni kujua set up tuu, MSAADA WENU...
1 Reactions
39 Replies
7K Views
Naomba kujua band za 4G za mitandao hii apa hapa kwetu. 1.Vodacom 2.Tigo 3.Ttcl 4.Smile 5.Smart
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Wakuu nina mpango wa kuvuta LED norma TV 43” katika brand za China hizo. Ipi kati ya Tcl, Star X, Mr UK, Bruhm ni nzuri katika ubora wa picha na vitu vidogo vidogo vingine. Kama ni samsung, LG...
0 Reactions
54 Replies
15K Views
Habari zenu wakuu, Mi natumia simu ya tecno, siku za karubuni imeleta shida kidogo, ukiingia Facebook simu inajizima na kujiwasha yenyewe,, Na sio mimi tuu kuna jamaa nafanya nae kazi nae...
3 Reactions
69 Replies
12K Views
Wakuu, Yoyote anayejua site nitakayo weza kujifunza SEO bila kulipia naomba anijuze. Natumia YouTube lakini nataka niongeze nyama nyama kupitia sites nyingine. Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni Samsung 65” smart tv Curved Ina mwezi 1 tangu ifike nilinunua China direct Sasa juzi nikiwa naangalia mpira ghafla picha ikatoka nusu screen, kama dakika 5 hivi ikawa inabadili rangi, hatimae...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari mafundi! Kama kuna mtu anaweza akanipa nafasi niwe weekend jmosi na jpili nakuja ofisini kwake ananifundisha vitu basic vya ku repair simu tuwasiliane. Maana nimechoka kila siku kupeleka...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu,ni matumaini yangu mnaendelea vizuru Mungu atupe uzime hili janga lipite Nina simu yangu ya Samsung Galaxy S7 edge imepasuka kioo Kam kun mtu yeyote anayeweza nisaidia kupata...
1 Reactions
10 Replies
9K Views
msaada kwa anayejua jinsi ya kucrack hii software maana nimejaribu tumia mbadala wake kama eagle get lakini hazifui dafu kwa IDM
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimepeleka kwa mtu ana ofisi yake anisaidie kubadili window kutoka windows 7 kwenda windows 10. Bahati mbaya nimepoteza asilimia 50 ya document zangu na nyingine ni muhimu sana. Hata...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu habari, Natumia pc ya miaka ya nyuma hivi, ni Lenovo T420 Core i5, Ram 4GB HDD 320 Graphic card 3000 Nimedownload software ya Blender ila inakataa ku-run inaniambia graphic card haikudhi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Tatizo lipo hivi nilijaribu kutumia codes hizi kwenye line zangu za tgo na voda madhara yake ni kwamba sipokei sms kabisa ila naweza mtumia mtu... nia masaa kumi toka nibonyeze hizi codes...
1 Reactions
3 Replies
937 Views
Kuna app moja niliiwekea lock kwa kutumia pattern Sasa pattern yenyewe nimeisahau hivyo app haifunguki hata nikitumia pattern ya kufungulia simu lakini wapi! Msaada wakuu nifanyeje
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Samahan kwa usumbufu wakuu naomba kujuzwa maana ya maneno haya rangi nyekundu yanayosomeka "Custom Binary bloked by FRP Lock" hii ni simu ambayo kuna mtu anataka kuinunua sasa kaja anataka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau kwa wanaojua makampuni yanayotoa huduma za intaneti maofisini,kama vile Simbanet,TTCL,Raha naomba kujua mengine ambayo yapo,shukrani
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Salaam vijana wangu. Nilikuwa nahitaji kufahamu kama kuna kifaa au ujuzi wowote ule wa kutumia ili niwezekutumia laptop nikiwa katika gari, yaani mfano kama ninavyotumia smartphone katika gari...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu habari, Kuna mtu anaejua mahali naweza pata fundi mzr wa sound bar, asiwe magumashi nina soumdbar yangu Aina ya Phillips imekufa power supply. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Back
Top Bottom