Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu salamu. Naomba kuuliza, hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder. Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe.Hakuna namna ambayo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu hivi leo Tweeter server zao zipo down au tatizo ni device nazotumia either kwenye connection(natumia voda internet) au device zenyewe? maana nikifungua kwa laptop haifunguki na kwa simu pia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu wa tech, za mida? Naomba comparison kati ya hizo simu: - Kwa ubora - Matumizi yake - Na vingine vingi Ipi ambayo ni bora kuliko nyingine.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nina PC ni Advent ina tatizo la sauti ,kuna siku nilikuwa nacheki movie sauti sauti ilikata ghafla itabid nianze kutumia airphone . nikawa nmetumia airphone kama mwez mmoja hiv lakin tatzo likaja...
0 Reactions
3 Replies
878 Views
Hey friend !!!! Thefreedom is hereeee............. kama kawaida yangu ni kuwasaidia watu na kutoa angalizo kwa wale ndugu zangu ambao hawana uelewa na hacking + tech. leo nitaongelea kitu kimoja...
8 Reactions
46 Replies
7K Views
1.Magic Plan 2. AUTOCAD Nimejaribu kutafuta Cracked ila nimekosa maana mwisho naambia nilipie. Pia kama kuna mdau anaejua apk nyingine inayofanya hizo kazi anisaidie. Ni kwa ajili ya kujifunza tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ifuatayo ni latest chati ya mitandao ya simu kuanzia yenye internet ya kasi zaidi mpka ile yenye slower connection mapaka WCDMA( excluding 4G) Nilifanya karesearch kadogo tu na kwa kuwa nilikuwa...
2 Reactions
73 Replies
16K Views
Ni kwamba, mwaka 2017, timu ya Bootstrap ilifungua pull request kwa lengo la kuiondoa jQuery kwenye Bootstrap isiwe tegemeo kwa plugins mbalimbali kama ilivyokuwa hapo hawali kwenye version...
0 Reactions
2 Replies
914 Views
Habari!! Nina Samsung Galaxy S6-Edge ya T-mobile ghafla tu ikanipa error kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini. Nikajaribu kugoogle hilo tatizo nikaona kuna kuiflash nikafanya inamaliza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari wana JF leo nimeona ni vyema tukaelekezana/kujuzana/kuwekana sawa kuhusu Propeller ads media.Nimepata kuona watu wakiwa na maswali mengi licha ya kuwepo kwa nyuzi kadhaa kuhusu propeller...
1 Reactions
70 Replies
9K Views
Wakuu nina swali. Simu yangu ni itel S11 siku hizi inaisha umeme haraka sana. Je, nikinunua betri yake mpya na kuichaji mpaka full, itakuwa imesaidia, yaani inaweza kukaa kwa muda mrefu kama ile...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari watalaam. Najifunza Dart language au flutter kama wengi wanavyoiita kwa kupitia tutorials mbalimbali za youtube. Ila kusema ukweli nimekwama, sababu hata nikichukua mifano ile ile...
0 Reactions
3 Replies
911 Views
Hello bosses. Nimepokea maombi ya watu mbalimbali wanaotaka kujifunza coding na nikaamua kutengeneza community site pamoja na forum special kwa ajili ya wote wanaotaka kujifunza coding au...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Hey Jamii. Jamani kwa wanaojua mambo ya Website, niliamua kuanzisha site yanngu bila experience yeyote before,nimeleta kwenu kwa wenye weledi zaidi mnisaidie kupitia kwenye site yangu labda kuna...
1 Reactions
84 Replies
7K Views
Habari wadau. Nina TV moja huko shambani imeleta tatizo kama inavyooneka pichani hapo chini. Fundi anapatika 28 km toka hapo shambani. Sasa naomba msaada kama kuna uwezekano wa kurekebisha mwenyewe.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Niaje wadau, Natafuta mtu anayejua kupiga picha vzuri, kucheza na editing za picha. Na hata video. Kama upo njoo PM tuzungumze tuone kama twaeza kushirikiana katk ABC. huwe makin, sio...
1 Reactions
0 Replies
779 Views
Nahitaji kueleweshwa ni vitu gani hasa natakiwa kuwa navyo ili niweze kumiliki blog yangu na mtu yupi ni sahihi wa kunifungulia hiyo blog? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wananzengo,poleni na majukumu ya kujenga Tanzania ya viwanda.nenda direct to the point nimekuwa nikijaribu kwa muda mrefu kudownload movie za you tube ambazo kwa pc huwa kuanzia size...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Kabla ya kujua ubunifu wa leo unahusu nini;naomba nikuulize maswali yafuatayo. JE? ulisha wahi kushuhudia:- * Flat TV au TV ya kawaida wakati wa kuwasha au wakati unaangalia ghafla inaungua...
2 Reactions
3 Replies
12K Views
Tv yangu nilihama nayo toka nimehamia huku imeleta mistari mekundu kwa pembeni ya kioo Nifanyeje wakuu irudi kawaida???
2 Reactions
90 Replies
13K Views
Back
Top Bottom