Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu, sie wa dunia ya tatu maisha bila kucrack softwares yanakuwa magumu sana. Mwenye keys na codes au namna ya kucrack ESET NOD32 Antivirus Version 12 atusaidie jamani, naamini tutapona wengi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Salam zikufikie gapo ulipo. Naomba msaada huo, nataka kuchukua michoro kwenye mitihani (past papers) mbalimbali kwa ajili ya matumizi yangu (kuandaa pepa nyingne). Naweza kufanyaje? Note...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wadau wa forum, Nahitaji kuuliza kama kuna uwezekano wa kupata ruhusa maalum kutengeneza kinu kidogo cha nyuklia nyumbani kwa matumizi ya nishati ya umeme, malengo yangu yalikuwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nina Samsung Galaxy Tab2 7.0 how do I insert SIM Card?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Binafsi nilikua nahitaji kubadilisha Simu ila Nimezunguka DSM sijapata wengi wanauza zilizofunguliwa na zilizotumika . nimeenda iStore Mlimany City they are living in their world iPhone 7 Plus...
5 Reactions
63 Replies
12K Views
Habari za leo wanajamvi, Kuna mchongo fulani hivi naifukuzia, nahitaji kujua kama kuna mtaalam yeyote (wewe au unayemfahamu) ambaye ana uzoefu wa kutengeneza electronic database ya shirika la afya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu, Zipo app nyingi tu za kuongeza followers, zingine kuongeza likes. Ila kwa bahati mbaya nyingi zinazingua. Je, ni app gani ya kwenye simu au hata software ya pc ambayo naweza kuitumia...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Huu ni kama ule mfumo wa kuscan bidhaa za supermarket na hapo hapo inatambua bei na kupiga hesabu. Nna uhakika kuwa na kifaa pekeake haisaidii machine kufanya kazi. swali. Au kila kifaa huwa na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Sold!
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Website Yangu Imezuiliwa Kushare Facebook Pia Cjajua Sababu Zinazo Fanya Kuzuiliwa Kwa Website Hii Kwa Anae Jua Maswala Aya Anisaidie Ili Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hii kitu inaitwa WIN RAR au zip ni nini? naomba mwenye uelewa anidadavulie maana nimeinstall biblia kwenye pc yangu sasa kuifungua imekuja kwenye mfumo wa zip hapo sasa sielewe kitu kabisaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niende moja kwa Moja kwenye Mada. Nipo Dar naulizia wale wajuvi wa machimbo ya Laptop za Kazi kama za Rendering na Matumizi ya Graphics aje apa atuelekeze yanapo patikana na ikiwezekana na Bei...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Nina flat screen yangu inch 34 haina muda mrefu inasumbua Sana kwa kutoa rangi zisizoeleweka na PIA imekata sauti.Naomba yeyote mwenye kujua tatizo Ni nini au anayemjua fundi mzuri WA tv...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Naomba msaada kwa anaezifahamu hizi programu, ipi ni nzuri kwajili ya kutengenezea Logo, vipeperushi, card design. phat_07
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Nataka niingie katika boot setup ya laptop yangu..lakini kila niikiwasha na ku press F2 au del ili niingie setup option hairespond chochote.nimejaribu kutumia keyboard ya nje napo holaa..nifanyaje...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hili jukwa ndio kwanza napandisha uzi humu, Naomba kuuliza hivi nawezaje kupata code namba inayoweza kunisaidia kupata menu katika simu za kawaida je inatengezwa au unaenda kuomba kwa makampuni...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Hi, Kama kawaida ya jukwaa letu n kuelimishana mambo mbali mbali hivyo leo nmeandaa uzi huu maalum kwa wale wote wanaohitaji kufurahia ulimwengu wa rooting but wameshindwa either uoga wa kijinga...
5 Reactions
242 Replies
35K Views
guys naomba mwenye scatter file/rom ya vodafone vfd 301 au kama unayo backup yake plzz..
0 Reactions
69 Replies
32K Views
habari wana JF, Nikuwa nahitaji mnijuze namna ya kutengeneza mabango pamoja na maswala ya graphics design ni vitu gani niwenavyo na namna ya kuvitumia ASANTE! Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kuwa njia hii nilikutana nayo mtandaoni na nikaona si vibaya nika share na nyie kwa kuwa inawezekana kuna watu wanapenda kutumia vpn ila...
12 Reactions
105 Replies
18K Views
Back
Top Bottom