Habari zenu wanaJF, pamoja na andiko la Chagga King la tar 25july
Kickass Torrent imefungiwa na Marekani
nimefanya more investgation na kugundua ni kwa jinsi gani Mitandao ya Apple na Facebook...
Habari wakuu!
Nimesahau password ya app ya DStv Now
hii app huwa naitumia kuangalia DSTV popote pale napokua mbali na nyumbani kwa kutumia simu yangu ya mkononi sasa nimesahau password...
Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall...
Habari za jpili.
Naomba mnisaidie kidogo kwa wale wenye uelewa wa haya makitu,kunamshikaji aliniuzia simu,iPhone 6s plus kila kipindi nainunua alinambia aliipeleka kwa fundi aiset fresh for ilikua...
Poleni na majukumu wapendwa,
Naomba msaada Tv yangu inch 43 Lg LED imechora mstari mnene mno kati kati
Shida ni siku moja tukiangakia tv iliweka tu kiza ikawa haionyeshi kitu , basi tukaizima...
Habarini Wadau,
Nina Ofisi yangu hapa Mwanza ya Internet Cafe, hivi majuzi nimeanza kutumia Moderm ya Voda ambayo inasupply internet kwa ajili ya Computer zangu. Sasa Kati ya Computer 5...
Msaada tafadhali simu haingizi chaji.
Nikichomeka chaja kwenye socket simu inaandika.moisture has been detected..unplug your charger and wait untill both usb and phone are dry.nifanyeje...
Naombeni mnisaidie wakuu maana nataka kutengeneza amplifier kwa kutumia ic ya tda7393 ila kuna sehemu imeandikwa ST-BY na nyingine MUTE. Sasa hizo sehemu mbili nimekosa cha kuunganisha wakuu...
Habari wataalamu!
Katika harakati zangu za maisha nimegundua weakness Facebook, naweza kuaccess kwenye account ya mtu kwa urahisi sana.
Nawaza niwaambie warekebishe jambo fulani.
Je ...
Habari za muda huu wadau wa jukwaa hili. I hope mko poa kabisa.
Ngoja niende moja kwa moja kwenye topic, nina simu aina ya Tecno S1, hii simu Tatizo lake kubwa ni ku'stuck au kukwama sana hasa...
Facebook kupitia Facebook Beta wameweza kutoa Facebook Dark/Black theme kwa watumiaji wa Desktop na Laptops kuweza kupunguza contrast na kukukinga dhidi ya mg'ao unaoharibu macho.
Natumai hivi...
Wapendwa katika bwana, natumaini mpo salama kabisa.
Nina jokofu ( friji) langu kampuni ya BEKO nilinunua dukani likiwa used yaani limetumika tayari.
Shida kubwa ni linatumia umeme mwingi kupita...
Habari.
Siku za hivi karibuni katika pitapita zangu, nimekutana na kitu kinaitwa "liquid protector" ni mbadala wa glass protector kwenye device zetu..isipokua tofauti yake wawekaji hutumia...
Apple has been fined 25 million euros (£21m, $27m) for deliberately slowing down older iPhone models without making it clear to consumers.
The fine was imposed by France's competition and fraud...
1. Kama aina yako ya kifaa cha Android kimedumu kwa zaidi ya miaka miwili , angalia kama kinaweza kuboreshwa na kuwa cha kisasa (update) na kuwa katika mfumo mpya. Kama unatumia aina ya zamani...
Habari...
Software Support Tanzania Tunafahamu Tatizo la simu kupata moto ni tatizo kubwa sana miongoni mwa watumiaji mbalimbali wa smartphone. kuna sababu nyingi sana zinazoweza kusababisha simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.