Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wadau! Kitambo tulipoteana baada ya mtandao wetu pendwa kutokuwepo hewani lakini sasa upo hewani wakushukuriwa ni mungu kwa kurejea tena kama awali. Ndugu zangu naomba msaada wa kupata...
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Wadau, mwenye kujua app yeyote inayopatikana playstore nasiza apk yenye channel za bein sports naomba tafadhari.
0 Reactions
2 Replies
471 Views
Wana tech habari, nahitaji 30W hadi 50W au zaidi (amplifier circuit), nipo Dar, ni maduka gani hupatikana? Mfano wake ni hii kwenye picha.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba msaada wenu nani anaeuza speaker hizi nazihitaji
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu. Nina karibia week now napata SMS kutoka namba 232 kama inabyojieleza katika picha hapo. Natumia mtandao wa Airtel. Nimeclear call forwarding na maengineyo kupitia ##002# lakini bado...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Huu ni mjadala utakaopendeza ikiwa wadau mbalimbali mtahusika katika kuufafanua. Naomba usichoke utakapokuwa ukiulizwa swali baada ya kutoa jibu. Hoja kwa hoja ushabiki pembeni. Mambo ya...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Natumai ni wazima, leo nakuja na swali nataka nijibiwe maana huku kwetu nimeona sana huduma hii nataka nitumie ila nasita kiukweli maana sijui ubora wake. Ni nini faida na hasara ya Liquid...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nmenunua samsung s5 kwa mtu kwa bei ya 65 elfu tu. Ñimezoea tumia Tecno but nmekuja jua hii simu ipo more advanced though ni old ila feature zake ni zaidi ya tecno new released phones. Hii simu...
1 Reactions
5 Replies
925 Views
Nahitaji kununua simu, wataalam nisaidieni ipi kali kati za hizo mbili Samsung A30s vs Samsung S8.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Steps 1. download Modem Unlocker here:- RapidShare: 1-CLICK Web hosting - Easy Filehosting 2. Then download Code Calculator:- RapidShare: 1-CLICK Web hosting - Easy Filehosting...
0 Reactions
29 Replies
23K Views
Hello wanajamvi, Natafuta PHP Developer wa kuteam naye muda mrefu. Lazima awe na portfolio inayoeleweka, na awe na angalau muda usiopungua masaa 15 kila wiki. Ni freelance agency. Ukiwa na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasaalamu wandugu! Jamaa yangu kaniletea iPad sijui hata model haina WhatsApp. Nahangaika namna ya kuingiza yangu jana bado inanizingua. Msaada wandugu nifanyeje ili niweke WhatsApp?
0 Reactions
1 Replies
839 Views
Habarini wana programmers.. Nina tutorials nilisoma kwenye w3schools nikadownload codeblocks kwa ajili ya kufanya practice, lakini tatizo ni kwamba ninapotaka ku-run code inazingua sasa sijui...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Napenda sana mambo ya kutengeneza programe na software. Kozi gani nisome na Chuo gani? Niko University (PCM A-level) ila nasomea ishu nyingine tofauti na hiyo.Ningependa kuanzia ngazi ya Diploma...
0 Reactions
36 Replies
9K Views
Habari zenu wapendwa? naombeni msaada nifanyaje natumia dishi la azam sasa hiki kipindi cha mvua napata shida sana chaneli hazishiki king'amuzi kinakatakata sana wakati mwingne haioneshi kabisa...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari zenu, nakumbana na tatizo la kulog-in kila nikitumia Jamii Forum App lakini nimekuja kugundua kuwa sijapokea password kwasababu wakati wa kufanya registration nilikosea kuandika e-mail...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi, wana jf, Natumia HP brobook 430, corei3 lakini nimejaribu kutafuta icon ya bluetooth siioni, nimetafuta mpaka basi lakin nikitaka ku-send naiona option pia ya bluetooth ipo ila nikijaribu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Evelyne I. Mbede from Tanzania receives the 2019 TWAS-C.N.R. Rao Award for Scientific Research for her significant contributions to Earth science and reduction of natural disasters. Tanzanian...
1 Reactions
3 Replies
806 Views
Habari zenu Nipo hapa ofisini nimekwama kuandaa document muhimu sana Tafadhali kwa anayejua namna ya kutengeneza Multilevel list ya mtindo huu Mfano 1. (a) ________________ (b)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa anae jua jinsi ya kuama kutoka blogger na kuamia wordpress na domain yangu ikiwa ile ile pia vitu nilivyo post kwenye blogger niame navyo msaada kwa anae jua swala ili domail nime nunua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom