Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salama wakuu, Nahitaji software ya kuflash simu yangu, imestuck kwenye fastboot mode.
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Hua selewi kwann nikichomeka hdmi ili nicheze pes kwenye tv nikiweka full screen inagoma goma ila nikiweka window mode inakubali shida ni nini graphics au shida nini? Wataalam mnijuze hapo Sent...
0 Reactions
1 Replies
633 Views
habari za mda huu naomba mwenye ujuzi wa kutoa website kutoka localhost kwenda kwenye server
0 Reactions
12 Replies
1K Views
No idea what has happened all electrics went off and when restarted computer the Dell start up page came up but then went straight to 'enter system password and press enter'. I have never seen...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hakikisha umeziweka hizo app kwenye simu na kulipia kwa ulinzi wa simu yako usisubiri kupoteza simu na au kifaa chako ndio uanze kuhaha ,kinga ni bora kuliko tiba. Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
kitu nilichokuwa na kitafuta leo leo nimekipata kiukweli nimefurahiii sana . kwa sababu lengo langu limetimia na imenichukua mda kuielewa hii program . kikubwa nilichofanya ni kusikiliza wadau wa...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Friji Yangu ni mpya na ina kama miezi mitatu sasa, lakini shida Ni kwamba, kwa kawaida tumezoea kuna wakat friji ikishapoza inakata muungurumo kwa muda kisha inaanza tena baadae. Shida ni setting...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Naomba mwenye Kuijua Hii Blogger Template Jina Lake Msaada Jamani Mfano Picha Iyo Apo Chino Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kama unatumia samsung devices basi bila shaka una option ya kuweka themes tofauti kwenye simu yako. Ila shida sasa,theme nyingi kali zinauzwa ,ikiwemo hii mpya sa samsung One Ui Hii one UI ni...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada nina simu yangu hapa HTC nimeagiza Marekani ilikua inatumia mtandao wa verizon. Simu hii wameifunga haiwezi kufanya teethering ya usb wala kutengeneza wifi hotspot wakati...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Mwaka 2017 Apple iliwaomba radhi wateja wake wanaomiliki Iphone 7 na matoleo ya nyuma kwa kuzipunguzia kasi na ufanisi kwa makusudi ili tu watu wanunue matoleo mapya ya Iphone. Apple ilikuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu, mwez mmoja uliopita nilinunua tv 32'' kutoka jumia (online shopping) kwa kiasi cha 450000 mpaka moshi. Nilivutiwa kununua tv hii sababu jumia walidai ni original brand from...
2 Reactions
28 Replies
17K Views
Habari wana jf. Kuna kero moja imejitokeza Katika simu yangu na leo ni Kama siku ya tatu hivi. Kero yenyewe ni hii Simu yangu imeanza tabia ya kuzima ghafla wakati naitumia. Hii kitu imekuwa...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Waungwana naomba kuuliza juu ya iPhone 6 Naomba kujua maximum ya muda wa kukaa na chaji Na changamoto za hii hii iphone Asanteni sana
1 Reactions
56 Replies
11K Views
Wadau, naomba kujua ikiwa nataka kuangalia Channel za DStv kupitia simu yangu nifanyeje? Narejea kwenye Startimes naweza kuona channel kupitia app yao niliyodownload Play Store, nimedownload app...
1 Reactions
76 Replies
24K Views
Wakuu, nimezurura sana mtandaoni kupata Fl studio iliyo cracked. Naambulia kupata demo tu. Naombeni msaada wazee. Au hata muungwana mmoja akinipa Activation Key zake nitashukuru Sent using Jamii...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wajuzi nahitaji niweze kuangalia Tv kwa kupitia kompyuta but sijui ni apps gani naweza tumia kustream live channel za Tv mbalimbali za ndani na nje ya nchi. Nahitaji zaidi channel zinazoonesha...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
Kwa mnaotumia alama za vidole au sura kulinda data zenu, ni kweli hizo data zenu zipo salama? Ukweli ni kwamba alama ya vidole (fingerprints) sio ulinzi sahihi kwa simu yako. Ni vyema kutumia...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Mahitaji: 1.winrar katika hatiua zifuatazo hii ni mifano ya mafile tutayotumia ni picha tutayoweka kwenye desktop ina jina la jamii.jpg na compressed folder tutayotengeneza kwenye desktop itakuwa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom