Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Salaam wakuu, nilinunua hizi smart wristband model aina ya M4 ambazo ni hizi za kichina. Issue ni kufanya pairing na simu wakuu. Nimejaribu apps kama fit pro, lefun health etc. Lakini shida ipo...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu nimerudi kwenu. Hivi nikitaka kuwa nina upload video music za wasanii mbalimbali huko kwenye YouTube channel yangu. Je, ni source ipi ni nzuri kwa kuepuka copyright? Je, naweza toa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, natumai nyote ni wazima wa afya. niende moja kwa moja kwenye mada ni hivi nimepanga ninunue moja ya mashine tajwa hapo juu sasa nipo njia panda sijui nichukue ipi kati ya ps4 na...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Infinix hot 7. IMEI:35240010754261 Kuna mtu kaiba simu je naweza kuipata wadau msaada please!
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Wakuu msaada kwenye tuta nimenunua universal remote kwa ajili ya sub woofer sasa nimekwama kuiset iweze kufanya kazi. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari zenu, Naomba kujua ukiwa unataka kucheki vipindi kwenye dstv now ukitaka kutumia cast ya kwenye simu ukaunganisha na tv unafanyaje? kwa sababu nimejaribu inagoma ikifika kwenye kuonyesha...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari mimi ninayo application ambayo ina husisha ama ina hitaji malipo. Hii application ni ya kuuza bidhaa Fulani nataka pale mteja anapo taka kununua mzigo aweke hela kwenye account yake then...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni msaada juu ya hili tatizo maana kila nikiwasha simu yangu inaniandikia hivyo, na hiyo ni baada ya kuirestore. Simu ni Samsung A10.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama ilivyo kwenye simu nyinginezo ambapo unaweza kuruhusu "network speed status bar" ili kuonesha speed ya internet pindi unapowasha data. Je, hiyo haiwezekani kwenye Tecno Spark 3? Kama...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama nilivyo haza hapo ninashida ya game la mpila ambalo ni la uajili uhuu wa sasa ambalo ni pes 2020 naitaji la ps2 msaada wadau
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa Tech naombeni msaada, kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema. Aina ya Simu ni Samsung yenye Battery ya ndani. Je, tatizo linaweza kuwa wapi? Ni Battery au simu nzima imekufa...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, mimi ni blogger ambaye nilikuwa natafuta traffic au kwa Kiswahili watazamaji wa blog yangu kwa kutumia Facebook, ila kutokana na hali kuwa ngumu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hello bosses. Nina mambo kadhaa ya kushiriki na android developers 1)Kwenye projects zako mpya jitahidi kutumia data binding library kwa sababu itaondoa haja ya kuandika mara kwa mara...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna programming language nyingne ni bora uzitumie tu kuandika web Apps za kawaida sana na usije ukazitumia kufanyia projects za mahesabu makubwa makubwa otherwise a single 'human error' can cost...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kwa wale wataalaam wa PYTHON PROGRAM tunawaombeni ushirikiano wenu hapa kwa ajili ya kujifunza na kupeana utaalamu. Mie ndio kwanza najifunza ila haizuii kuweka THREAD ili wenye utaalamu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wataalamu wa jf , kuna site ninazoweza kuzitumia ku download firmwares za simu zote zikiwa kwenye mafaili at once bila kudownload firmware moja moja. kama site hizo zipo naomba msaada Sent...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada wadau Mpesa mastercard inakataa kulink kwenye paypay. Je, tatizo laweza kuwa nini maana kabla nililink nyingine kirahisi tu.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kuachana na cable hawa jamaa hapa Kahama(SSCN) wanaboa sana maana wanakata sana picha hata sioni maana tena ya kulipia elfu 10 kila mwezi.Napenda kufuatilia michezo hiyo ya...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Wakuu, Naombeni ushauri vigezo vipi vya kuzingatia mtu unapotaka kununua friji nzuri? Pia vipi kuhusu makampuni mazuri ya friji ni yapi? Maana kuna Boss, Westpoint, Pinetech nk
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Hope mko poa! Poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Moja kwa moja kwenye mada. Iko hivi leo wakati nawaza kuhusu kusumbua kwa internet ya Vodacom Tanzania kuna wazo lilinijia. Ila sijui kama...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom