Habari wadau naomba kujua ni deki gani ya tv au kifaa gani kinaweza kusoma folder za video aina zote hasa MKV na kuplay through tv maana tv yangu haiwezi kuplay hizo video.. karibuni kwa msaada!
Wakuu naomba kuuliza hizi kitu(html,css,javascript & phython) mtu akitaka kuzisoma si chini ya muda gani atatumia kuzimaliza zote na ni njia gani nzuri anaweza itumia kuzisoma iwe hata ni ya...
Salaam,
Tofauti na apps nyingine, dstv app for mobile devices iko poa sana. Kwanza UI iko fresh sana and friendly, contents za kutosha na hakuna ile mambo ya kustack-stack hovyo. Kwakweli nawapa...
Nina switch, router, UTP cable, na vifaa vyote nahitaji computer ziweze kuwasiliana aidha kushare data nk. Nini natakiwa nifanye ili computer zote ziwe katika work group moja?
Ni computer 24...
Habari zenu,
Je, website gani naweza kutengeneza site na blogu bure au kwa gharama nafuu ambazo zinawea kupatikana kwenye google search. Yaani niki-search Google niweze kuiona website au blogu...
Swali langu ni hili wakuu:
Naweza kuweka Android mpya version iliyotoka kwenye simu ya Android 7.0 mfano tecno wx4 na kadhalika?
Na je, system ya simu yako ikiwa inataka ufanye update update...
Watu wengi hawajui kusolve baadhi ya matatizo baada ya kuunda website.
Pili: Watu hawajui ni nani atakayewafanyia kazi nzuri ya website.
Sasa katika Uzi huu nitajibu maswali yote na changamoto...
Wazungu wana vituko vyao, ati leo wao ndio wanautangazia ulimwengu kuwa wamegundua mamalia mpya. Hivi haka kamnyama hakuna aliyewahi kukaona huko Tanzania?
Msaada wa ni hatua zipi naweza fanya zaidi ili nimpata mwizi wangu. Tarehe 7/12/2019 niliibiwa simu pamoja na fedha, nikapeleka polisi taarifa, nikaandikiwa loss report, nikaenda kwa mtandao wa...
Habarini ndugu,
Kama kichwa cha habari appo juu kinavyojieleza, nlikuwa naomba msaada najua humu Kuna wabobezi wa mambo mbalimbali. Nmejiunga freelancer.com ili nitafute kazi Sasa nilipata kazi...
Wakuu habari aisee nimepata ka PS 4 ka kunifariji kidogo na hizi stress sasa changamoto ni bei ya kununua CD za games kwa kweli ni gharama kwangu. Naomba msaada wa website nayoweza kudownload...
Kwa wale die hard tech fans lazima mtakua na ndoto za kumiliki computer ya aina flan na specs flani,either unapambana kutimiza ndoto yako kama mimi au umetulia unatamani unasubir miujiza itokee...
Wakuu habari zenu,
Hivi mtu ukiwa na viakiba vyako vya kuunga unga benki. Kwanza natamani kujua Benki kuna usalama kiasi gani dhidi ya wezi wa kisasa wanaotumia teknolojia?
Pia nijihadhari na...
Moja ya vitu vinavyonipotezea muda kwenye simu ni pamoja na kuchapa sms. Natumia muda mwingi kufanya editing kuweka maneno ya kiswahili baada ya simu kuweka maneno yake.
Mimi naandika...
Wakuu habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu naomba kuelekezwa kuset screen picha, video na maandishi yaonekane standard.
Kwa sasa vinaonekana kama vimebend hivi kushoto na kulia...
Nimeinstall Polaris Office kwenye PC yangu, lakini shida imekuja kwenye kufungua Document inanihitaji niweke license key.
So kwa anayefahamu hiyo license key wapi naweza kupata naomba anisaidie.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.