Wakuu Habari,
Nimejitahidi sana kucheza hili game kuanzia amateur mpaka sasa niko Dv2 pamoja na kuwa na kikosi kidhaifu chenye wachezaji wawili tu wenye 72,70 na Mmoja yule Wa Offer Alaba ana 81...
Dunia yetu tunayo ishi imetengenezwa kwa variables ambazo zipo katika mfumo wa analogia,variable hizo kama vile joto,mvuke,hewa,sauti nakadhalika.
Hivyo upimaji wa vitu hivi katika mfumo wa...
simu yangu pendwa niliiangusha, ikapata crake mwishoni sina mpango wa kubadilisha wala kuiacha. ni Samsung note 8, Kuna scree protector za aina nyingi sasa sijui niweke ya aina gani kusolve ilo...
Habari,
Msaada wa link ya kudownload drivers za Samsung model 300 E4C ambazo haziuzwi.
Baada ya ku upgrade kutoka Windows 7 kwenda Windows 10 pro 64bits nimepata tatizo za drivers, bluetooth...
Wasalaam,
Nimepata changamoto kuna laptop imekuwa ikitumika, lakini changamoto nimeikuta ni kuwa nikijaribu kuprint document iliyo kwenye PDF &Excel inashindwa kusoma printer zilizopo...
Saalam wakuu nimetengeneza app ya android kwaajili ya simulizi za watoto app hii inauwezo wa kutumika offline pia inamuwezesha mtoto kusikiliza au kusoma ikiwa anaweza kwasasa nimeanza na hadithi...
Habari za wakati huu wakuu leo nimependa kushea nanyi jinsi ya kufahamu kiwango radiations kutoka kwenye simu yako kama ni salama kwa kupiga namba *#07#.
Ipo hivii unapo dail namba *#07# katika...
Nataraji kununua king'amuzi cha Startimes, sasa najiuliza ni muda upi sahihi wa kulifunga 'dish' kama asubuhi au mchana au jioni au usiku?
Hii ni kuepukana na 'poor signals'.
Msaada tafadhali...
Habari zenu wakuu. Nahitaji msaada kutoka kwa wale wazoefu wa internet transactions.
Nimekuwa nikifanya purchases online either kununua bidhaa au kulipia huduma mbali mbali kwa muda wa miaka 6...
Habari zenu ndugu zangu. Naomba niende direct kwenye mada. Ila kwanza nimeweka picha hapo za kuonyesha specification za hii laptop yangu ya LENOVO THINKPAD T420 (Core i5)
Historia fupi, hii...
Nmetokea kupata madini na software mbali mbali kutoka kwa warusi, Modem kibao wao ndio wanakuwaga wakwanza kuzifungua, kutengeneza calculator za kufungua vifaa mbali mbali, sptools, n.k yaani vitu...
Habari za asubuhi wanajamvi,
Nimeona services nyingi mtandaoni na nikavutiwa na jinsi mambo yanavyokwenda kasi. Kuna concept mpya imeingia (actually sio mpya sana) ambayo inaitwa SIM hosting...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.