Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, Anayeweza ku unlock iphone7+ nahitaji msaada. Nikiweka line inaandika sim card not valid Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salamu wapendwa wana JF na wadau wa jukwaa hili. Rejea kichwa cha uzi, ni application gani nzuri ya Android ninayoweza kuitumia kuweka na kutoa sticker kwenye picha, screenshot yenye maandishi...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Niko na PC yenye low specifications hapa, sitaki win XP, nataka nidownload image ya lightweight OS nyingine, iwe LUBUNTU, Linux Mint au nyingineyo ya design hiyo, nataka link ya kawaida sio ya...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Byte ni mtandao wa kijamii wenye kuruhusu utuamiaji wa video fupi "Clips" zenye sekunde sita, kupitia Byte utaweza kuona kurasa rasmi kutoka kwa wafuasi na unao wafuata katika Kurasa Baba "Feed"...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za wakati, Nimekuwa nikitumia ADOBE PREMIERE PRO kuedit video zangu lakini siku hizi kama week au zaidi, 1. Nikiwasha laptop inakuwa nzito kuwaka 2. Nikifungua ADOBE pia inasumbua na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nikisoma hasa google namna ya kutweek imei za simu ili kupata zile unlimited bundles ila huwa sielew namna ya kufanya aisee maaan weng wanaelezea kwa mitandao ya kwao huko hasa...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wadau,jana ITV walitangaza kua kuanzia tr 1 june masafa ya kuwapata kwa dish FTA yatabadirika jee mie niliwapata. Kwa Mediacom 930 MPG 2, kwa mabadiriko hayo naweza kuwapata tena?
1 Reactions
61 Replies
11K Views
Serikali yetu haitakiwi kuweka ulinzi wa raia na mali zao tu, bali inatakiwa ihakikishe raia, mali pamoja na data zao znakua salama, kwasababu data ndio kitu pekee ambacho kinaweza mfanya mtu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau husikeni na kichwa tajwa hapo juu, Nimeanzisha channel ya YouTube, nia na madhumuni na lengo langu kubwa ni kuwa napost "highlights" za michezo ya mpira wa miguuu ndani na nje ya nchii pia...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari za mchana wadau, Nilikuwa katika pilka zangu mtandaoni, nikajiuliza kama kuna mtu/wadau wanaofanya podcasting hapa nchini? Je, soko/hitaji la podcasting likoje? Ni swali tu, kama kuna mtu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu, Hivi sasa hapa Dar pana huduma hii ya uwekaji 'screen protector' kwenye simu kwa njia ya 'liquid'. Sina tatizo na hiyo 'liquid' ila nachokitilia mashaka na jinsi ya uwekaji wake. Je...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Je, unafahamu kuwa kila unapotumia smartphone yako (Android) kuna file linajitengeneza lenyewe linaitea android? File hili linaweza kubeba takataka zote na kujikuta limechukua nafasi hata MB 500...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Kuna simu inakuwa nzito kutuma shida nini? Msaada tafadhali, simu ni Tecno W3. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Ninauza smartphone yangu Itel s32 LTE bei 180,000 nipo Dar. WhatsApp 0743232148
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nokia XpressMusic NX Concept is an AudioPhile’s Wet Dream, Looks Badass as Hell By Kelvin • November 20, 2016 • 0 Comments (4 votes, average: 4.25 out of 5) With Nokia returning to the...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa wale wataalam, mafundi, wapenda electronics, hivi ni miongoni mwa vifaa vinavyotumika katika kutengeneza circuit board, kwa mwenye kuelewa vinakopatikana itapendeza kama tutafahamishana pamoja...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaam wanajukwaa! Natumai mko shwari wakubwa na wadogo. Mimi namshukuru Mungu muumba niko poa na naendelea vizuri na majukumu yangu ya kila siku. Leo nina ombi moja kwenu, nalo ni namna ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wana JF. Nilikuwa na SATA Hard Disk yangu aina ya SEAGATE yenye ukubwa wa 250GB. Hard Disk hii mwanzo nilikuwa naitumia ndan (As Internal Hard Disk). Baadaye nikanunua Hard Disk case...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Naomba ufumbuzi kidogo kwa wataalam maana mimi sina utaalamu. Ninatumia Laptop ya Dell xps L321x. Shida yake kuna muda hua inaleta mistari ya rangi na kutoka. Naomba kujua kua tatizo litakuwa...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
_*Sehemu ya pili.*_ 2. Artificial human being Tangu dunia ianze haijawahi kutokea kipindi ambacho wanadamu wameenda extra mile kama kipindi hiki, tumefikia hatua ya kushindana na Mungu kuumba...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom