Float switch ni switch inayotumia umeme inayofungwa ndani ya tank la maji ili kuzima na kuwasha pump pale maji yanapopungua ndani ya tank.
Yaani ufanyaji wake wa kazi ni kuwa maji yakijaa kwenye...
wakuu naoamba msaada wenu juu ya hii kitu sababu mm nimezowea kuwa nikikutana sehem inahitaji zip/postal code huwa naandika +255 au 0255 na mchezo unakuwa umekwisha lakini kuna softwere hapa...
Umeme ni nini?
Umeme ni mtiririko wa electrons,ndani ya conductor(kipitisho mfano waya).
Kuna aina mbili za umeme
1.Umeme wa mkondo geu (Alternating Current) au AC
Ni umeme ambao mtiririko wake...
Habari Zenu Wakuu humu Ndani..
Naomba Msaada wa kufahamishwa jinsi ya kufungua Account ya bank online nina ID ya Taifa niko nje ya inchi ila sijafahamu namna ya kufungualia account...
Habari za leo ndugu zangu. Poleni kwa majukumu ya kila siku, naimani mungu yu pamoja nasi katika mihangaiko ya kila siku na kutupatia riziki sisi sote.
Ndugu zangu naomba kufahamishwa kuhusu...
Salam wakuu,
Nilikuwa natafuta shirika la software development linalo patikana Mwanza.
Ambapo naweza fanyia field, so kama unamiliki kampuni au unafaham kampuni ambapo naweza fanyia field...
Nimefikiria kuhusu hiyo reli ya tren iendayo kasi wanayeweka ya kutumia umeme lakini nimeshindwa kujua huo umeme utakuwa huko kwenye reli yenyewe au ni kwenye tren tuu.
Na kama ni kwenye reli...
Mada juu inajieleza naomba mnisaidie flash yangu yenye document muhimu inagoma kufunguka inadai iformatiwe. Sasa Kuna njia mbadala ya kupata nyaraka zangu muhimu
Hivi sehemu ambayo kumefungwa feni liwe panga boy au kata kiuno (ciling fan) mimi nikatoa hapo lile feni nikaacha ile regulator zile wire za feni nikafunga hapo streight holder na kupachika hapo...
Jamani naombeni msaada,
Laptop ninayotumia nikiiwasha sehemu ya kuweka password haiwezi ku 'input' character zozote, kwahiyo siwezi kuingia na kuitumia.
Tatizo hili limeanza leo muda wa saa 12...
Habari za jumatatu wakuu,
Nina mpango wa kununua simu ya HTC baada ya Samsung J7 yangu kupotea. Lakini sina uzoefu kabisa juu ya ubora wa hizi simu na na hata jinsi zinavoendesha application zake...
Habari zenu wakuu, nina blog ambayo ina subdomain ya blogspot, ningependa kuweka top domain ili niweze kuweka adsense. Tatizo sijui chochote kuhusu mambo yafwatayo na ningependa kujulishwa:
1.web...
Naomba kuuliza hivi ukisave namba ya simu yoyote katika laini ya mtandao wowote, je kampuni husika ina uwezo wa kufahamu idadi ya namba zilizohifadhiwa katika laini?
Karibu.
Habari ..kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Sitaji bei ila mwenye bei itakayomzidi mwingine ndo ataichukua simu...iko katika hali nzuri.
Specs
Processor 1.3Ghz
RAM 1GB
Internal Storage...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.