Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu Kama kichwa kinavyosema, hivi hizi Cache na Cookies ni nini na zina kazi gani kwnye simu? Pia kwanini wameweka hizi Cache na Cookies inakuaje mfano zisipokuwepo? Nini...
1 Reactions
57 Replies
10K Views
Tatizo la samsung s5 kufel kuplay miziki na video za ndani ya simu na online Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
573 Views
Ofisini ni mwaka wa tatu sasa mkurugenzi aliagiza zifungwe Tv kama nne kwa ajili ya usalama, ambazo zitakuwa zikipokea matukio kutoka kwenye cctv cameras Zikanunuliwa tv original kabisa 2 za...
8 Reactions
52 Replies
10K Views
Tafadhali watalaam kuna hii taatifa January 14, 2020, is the date that the US firm has set for the big change and the advice for anyone using Windows 7 is to upgrade as soon as possible to avoid...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi kunatatizo kuchaj simu hata kama haijaisha chaj mfano umeiweka chaj ikajaa then ukaitumia ikafika kama 64% then ukairidisha chaj tena kuna shida hapo je? Hili linaweza ua betri? Sent using...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda huu. Nimeweka picha za specifications za hii Laptop. Naomba kujua, je Software zifuatazo zita-run kwenye hii pc. Blender Euro truck simulator 2 Adobe illustrator Adobe...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaaam kwenu nyote, Naamini hapa jf nitapata msaada wa kujulishwa kifurushi chenye mb/gb za kutosha maana mimi nimeshindwa napendelea vya mwezi au wiki. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Wakuu mambo vipi. Leo nimekutana na hii software inaitwa jen-free video compressor. Hii ni software ambayo hupunguza size au ukubwa wa video bila kupoteza quality. Kiukweli suala la MB hasa...
7 Reactions
19 Replies
6K Views
Habari wakuu, naomba msaada wenu, simu yangu aina ya Microsoft Lumia 640 nilifanya update kutoka Windows 8.1 kwenda Windows 10, baada ya hapo ikapoteza settings app hivyo inafanya mambo vitu vingi...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Habari zenu, naomba kufahamishwa gharama za kutengeneza website ambayo unaweza kufanya online payments za ndani pamoja na Visa & Master cards Pia naomba kufahamishwa makampuni/watu kutoka hapa...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Nina Pc Lenovo i7, yenye Graphics Card ya 4 GB na Acer i5 yenye GB 2 za graphics Card ila nimebaki nashangaa nikaona ngoja niwacheck wataaamu wanisaidie. Kifupi Preject ambayo nairender kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nimepata confusion kabisa kuhusu aina za database. Kuna mwalimu alinifundisha two types of database: Flat file database and Relational database tu. Sasa leo nimekutana na notes zina aina sita...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndg Naomba msaada kama kuna uwezekano Wa kutengeneza tatizo la kupata krack na kuwa na wino kwenye screen model no. GVA 32A1 kampuni ya soyi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Naomba anayejua namna ya kupanga division kwa kutumia Excel anijulishe.
2 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuuu Nimetumia illustrotor kwenye pc yangu kwa muda Lakin ghafla imeanza kunidai key. Kwa kuonesha kuwa natumia tryor na imebakia 28days. Nafanyaje..? Angali nimeanza kutumia kitambo...
0 Reactions
1 Replies
399 Views
Heshima kwenu wakuu ! Nipo kijiji fulani nyanda za juu kusini...natumia solar tangu Jan Nilinunua betri mpya ya Sundar yenye ukubwa wa 12V 18 AH/ 20HRS na Panel ya Watt 20 nikawa natumia taa 1 na...
1 Reactions
64 Replies
14K Views
Anaefahamu jaman kuhusu podast aniambie
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Hello guys habari zenu..... naombeni msaada kwa wenye utalaam wa namna ya kuweka nyimbo ktk i phone ili niweze ku-enjoy pia kwa kusikiliza music bila kustream kw internet....
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Salaam wakuu, Kama swali linavyojieleza hapo juu, naomba kujuzwa tafadhali kuhusu hili swala. Kwa uelewa wangu mdogo, nafahamu kwamba ili mtu awe verified ni lazima awe ni celebrity au mtu mwenye...
9 Reactions
28 Replies
6K Views
Back
Top Bottom