Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nakumbuka hype ya iphone ilivyoanza kama kawaida yao Wamarekani wazuri sana kwa marketing na kudanganya watu, nakumbuka walianza na selfie kila Mwanasiasa kuanzia Obama mpka ma hollywood stars...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa maelekezo. Nilikuwa nikitumia simu za Android muda mrefu sasa nimeona nihamie kwenye iPhone. Kutokana na kipato changu nimewaza kununua iPhone 6s Plus kwa hiyo naomba mliowahi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini wakuu! Natumaini kwema. Nina Motorola z2 Force hapa imekwamakwenye bootloop yaani inawaka then inaishia kwenye Logo ya Motorola, nimefanya utafiti nimegundua solution ni kuinstall/flash...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu kwema, naomba mwenye kujua jinsi ya kubadili au kuweka option ya kuplay video hapa JamiiForums anisaidie. Mimi nikifungua inafungua kwa kutumia JF tu. Nataka niwe nafungulia browser nyingine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba mwenye uelewa wa kutengeneza tangazo la biashara likiwa moja kwa moja kwenye cover page. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi la technojia, Nina pc yangu aina ya dell, juzi nilikuwa natumia ghafla tu ikazima na kila nikiiwasha inawaka then inaonyesha alama hyo ya taa then inazima je shida ni nini...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu naamin mpo fresh kabisa.. Bila kupoteza mda,last wiki kuna vibaka walikuja kuiba ,walifanikiwa kuiba vitu mbali mbali vya thaman. Sasa katika kuiba kwao wakaiba na simu ya dogo ilikua...
0 Reactions
48 Replies
9K Views
nilikuwa na kasimu kangu nmekupata juzi tu. sasa cha kushangaza kuna wale wahuni wa bodaboda wakanikwapua. simu yenywe ni iphone7 plus, nmejaribu kutumia find my iphone bila mafanikio maana sio...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi makampuni ya simu yameshindwa kabisa kutengeneza simu yenye kioo ambacho wateja hatutahitaji screen protector? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu msaada jinsi ya ku-unlock iPhone 7+ yenye carrier lock ya sprint USA. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekumbana na tatizo la mfumo wa Google kugomea kadi zote ninazozitumia, nimejaribu Mastercard prepaid/credit/debit zote hazikubaliwi, nimeomba hata za marafiki lakini wapi, imenibidi nianze...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwanza kabisa kabla sijaendelea na maada nawashauri wavivu mnaopenda kupumzika sana hii njia haiwafai , nunueni bando muendelee kupost status za success Youtube wana mfumo wa...
5 Reactions
25 Replies
7K Views
Wataalam mje kutoa msaada hapa. Simu yangu Samsung S6 Edge imegoma kudisplay yaani ipo on lakini kioo kinaonyesha giza. ukipiga inaita kama kawaida tatizo ni nini na suluhisho ni lipi...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari! Samahan naomba msaada kwa mwenye ujuzi wa meter ya luku nimejaribu kuweka umeme nabonyeza namba hazifanyi kazi. Msaada tafadhali nifanyaje nisilale giza.
1 Reactions
16 Replies
9K Views
Step1 - Select a windows key for whatever version of windows you are running. Home: TX9XD-98N7V-6WMQ6-BX7FG-H8Q99 Home N: 3KHY7-WNT83-DGQKR-F7HPR-844BM Home Single Language...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini wakuu,poleni kwa majukumu ya kila siku. Kama topic inavyojinadi hapo juu,,nilichomeka flash drive ili kuinstall game kwenye PC ya ndugu yangu. Baada ya hapo mafaili yote, nyimbo pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu nina Itel it1450e 3G nahitaji kuiflash boot key ndio tatizo nimeshapress vol + hola vol - hola. Aliyewahi kuflash anielekeze hiyo boot key yake. Na lingine file halikubali katika resech...
1 Reactions
2 Replies
579 Views
Unaweza kutucheki, lakini pia kwa system za shule, hotel na hospital. Radio Stream na IT support. Tuna uzoefu wa miaka mitano sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom