ANDROID LOVERS TUKUTANE HAPA
Wazee wa kazi niaje, nimekutana leo na hii program aseee kiukwelii nimeshangaaa sana.
Hii ni software ambayo kazi yake kubwa ni kumanage IMEI namba, modify, hata ku...
Habari wa kubwa
Samahan naomba msaada jns ya kufix tatizo la chats backup
Iko iv na choose email ya Google drive but WhatsApp ina nambia can't find my account
Niki place ok ina fanya...
Nimewasha laptop yangu ikawaka vizuri, ila inaonesha rangi ya bluu kioo chote, nashindwa Cha kufanya. Tatizo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga picha yoyote wakati size ya picha kwenye camera umeweka 5mp n.k mbali na Ile size iliyoko kwenye camera by default Kisha compare na picha uliyopiga ikiwa na default size.
Default size...
Salam wakuu,
Direct kwenye mada, zamani nilikua natumia Jumia food app ambayo nilikua naweza kuangalia nearby restaurant na nika order nikitakacho na nikawa naletewa hadi home without any...
Nilikuwa natumia mood lkn inachelewa kufunguka inaweza kaa sek 5 hadi 10.
Nipo kwenye Textra ipo Fasta sana ila haina features nzuri kama mood.
Ipi nzuri kwako?
Mood niliipenda kwa haya.
-ina...
Kila nikitaka kufungua App baada ya Installation inagoma kufunguka mwenye kujua tatizo hili kama kuna mwingine tusaidiane
Nina Tecno C 8
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu heri ya Christmas!
Naamini wengi wetu tumeshatumia hii App ya Google Map Mara kadhaa katika kujua ilipo sehemu fulani tusiyoijua au Jengo Fulani kama hoteli ,hospitali nakadhalika.
Kwa...
A US man has sold the domain name pizza.com for $2.6m (£1.3m) - after maintaining the site for just $20 a year since 1994.
Chris Clark, 43, accepted the offer from an anonymous bidder after a...
Wasalaam
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji batter ya hii pc hapa inayoweza kukaa na charge angalau masaa 5.
Nakaribisha offer. Itapendeza ikiwa battery mpya.
Habari ndugu zangu,
Nina machine ya EFD incotex133 amekuja mteja nikataka kumtolea risiti nimefanya transaction zote lakini haitoi risiti nimejaribu mara mbili lakini imegoma.
Sasa itakuwa...
Kumekuwa na ongezeko la watu ku-adiana au kuingizwa katika magrupu ya WhatsApp, wakati mwingine wanaofanya hivi hata huwajui na utalazimika kusubiri maelekezo.
Ili kukabiliana na hilo kuna namna...
.....na copy na ku paste words, lakini imekataa ku copy wala ku paste words toka kwenye picha.
Yaani inakuwa km ina copy picture yote badala ya ku copy words peke yake, maana Mimi nina shida na...
Mimi ni mteja wa AZAM TV sasa ni mwezi wa pili. Sina uhakika kama tatizo ninalolipata linawapata wateja wengine wa AZAM TV.
Suala ni kwamba mvua ikinyesha kidogo tu basi ianakatakata na wakati...
Hivi karibuni WhatsApp itasitisha programu yake kwa mamilioni ya simu baada ya kutangaza kwamba programu hiyo itaacha kufanya kazi katika simu za zamani.
Kampuni hiyo inayomilikiwa na Facebook...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.