Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari, Nilijaribu kuomba kuhusu kufuta apple id yangu, lakini nilifanya kosa (nilitakiwa kusaini out kwanza katika Iphone yangu kabla ya kuifuta) kwa hivyo sasa kila nikijarb ku sign out...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Bandugu inatuhusu. Tusikubali kutishiwa nyau. Wenye nchi ni sisi. Tafadhalini mnaotuongoza mtuongoze mkiyazingatia yale tunayoyataka sisi. Siyo mtutawale wala kutuongoza kwenye mnayotaka nyie...
0 Reactions
2 Replies
922 Views
Nimeletewa samsung J3 pro kutoka China. Sasa shida yake battery inajizima bila kufika 0%. Wala haifiki kwenye 15% kuonesha battery low. . Naweza kutumia kutoka 100% halafu ikazima kwenye 35%...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada, naombeni kupata ufafanuzi mgogoro wa Huawei na Apple kuhusu tishio la kuondolewa uwezo wa kutumia Google kwenye simu za Huawei uliishaje maana nahitaji kununua simu ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habarini za usiku wakuu,ninahitaji kujua je hizi simu ambazo zina network lock au carrier lock zinatolewa vipi? na bei gani kutoa hiyo lock? na zipo njia za aina ngapi? na je njia hizo ni 100%...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
HONGERENI KWA KUKUTANA TENA 2020, kuna simu mbili n used ila sio sana kwa laki tatu ipi nichukue kati wa SAMSUNG GALAXY S6EDGE+ YENYE 2RAM NA 32ROM HALAFU IPHONE 6S PLAIN YENYE 2RAM NA 64ROM...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Wakuu habari, Hii simu ni wiki sasa inasumbua touch lakini ukitumia S-Pen inatouch vizuri kabisa. Mwenye kuelewa anisaidie kama ni ishu za software ama hardware maana nmeshindwa kuelewa...
0 Reactions
1 Replies
771 Views
Tatizo la PC Cursor kutembea yenyewe kwenye Screen. Nimeweka external mouse lakn tatizo bado, je nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kama kuna developer au mtu anayeweza kunipa mawasiliano na developers wa Android na Apple Applications naomba tuwasiliane tafadhali. Nadhani mawasialiano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wataalam habari zenu ninaaudio tape za miaka hiyo natafuta namna gani huu music naweza weka ktka digital.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ndugu, jina Nicodemus mollel makazi Arusha Tanzania maombi yangu nimesoma information technology(IT),ngazi ya cheti nimebase upande wa TECHNICIAN Natafuta kazi ya IT au yoyote inayohusiana...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
habari wataalamu, Nina changamoto moja, kuna server ipo remotely nahitaji kulogini account ninayo ila wame disable remote connection hivyo siwezi tumia remote desktop ku connect ni window server...
0 Reactions
0 Replies
563 Views
Habari zenu ndugu. Naomba msaada wenu kuhusu ishu ya sauti kwenye Laptop yangu. Kuna siku nilimuachia dogo laptop sasa akajaribu kuconnect sauti isikike kwenye Subwoofer, alipounganisha ikatoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Whatsaap ghafla iliniandikia hivi: "You phone number has no longer registered on Whatsapp" nikiverfy nakuta nishaambiwa nipo banned yaani hii ni namba ya 4 fasta fasta. Hakuna kibaya chochote...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii messege inachukua wiki mbili kweli au ndo mizinguo? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
894 Views
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya wakuu. Baadhi ya simu za Android zimekuwa zikija na Internal Memory ndogo kiasi ambacho inahitaji kununua SD card (Memory Card) ili kuweza kuongeza space lakini...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Wakuu umofia kwenu! Nilikuwa najaribu kwa mara ya kwanza kununua bidhaa ali express kwa kutumia m pesa master card lakini nafeli. Nikiweka card namba na tarehe ya kujaza naambiwa "we dont accept...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakati ukivinjari kwenye mtandao wa inteneti unapotembelea tovuti mbalimbali au #MitandaoYaijamii unapaswa kuwa mwangalifu na kutunza usalama wako dhidi ya watu wenye nia ovu: Kumbuka mambo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom