Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Nimejaribu nimeshindwa!...je inawezekana kuwa na akaunti za what's app zaidi mbili kwa line tofauti za simu kwenye simu moja?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari, Kama Kichwa cha habari kinavyosea, naomba msaada kwenye mambo yafuatayo; 1. Namna ya kutuma meseji kutoka kwenye email ikaingia/ikaenda kwenye namba ya simu ya kawaida. Mfano kutoka...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Kila nikijaribu kuinstall inaload sekunde chache halafu process inashindikana simu inarudi kawaida Je, tatizo ni kwangu tu?au simu yangu.ndogo tecno C8? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mtandao uliokuwa maarufu duniani kote Vine umefanya mabadiliko na sasa utatambulika kama Byte. Vine kwa miaka kadhaa ilisimama imara kabla ya kupigwa vikumbo na magwiji Instagram, Snapchat na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Kioo cha samsung S6 ni bei gani used na kipya? Simu yangu imevunjika vibaya sana. Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari za muda huu, nahitaji kufanya recovery katika computer ambayo ina window mpya na file nalo kuhitaji lilikuwa katika window ya zamani ambayo niliiformat nitumie njia gani ili niweze...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari Jamii yangu ya humu ndani. Nasikitika sana baada ya masaa kadhaa kupita ndio napata notification kwamba kuna mtu/kikundi cha watu wameweza kuingia kwenye account yangu ya twitter na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Mimi wakati wa kuseti dishi huwa natumia receiver lakini kuna hako kakifaa nimepata sijui kama katanisaidia maana sijawahi kukatumia. Hivyo naomba aliyewahi kukatumia anisaidie kujua kama katakuwa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimekuwa offline toka mwezi June kwenye Akaunti yangu ya Whatassap ila leo nataka Kurudisha Akaunti yangu tena, Je zile Sms nilizotumiwa tangu nikiwa Offline nitazipata?. Nashukuru.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima na iwe kwako mwanajamiiforums, naomba unipe mawili matatu kuhusu huduma hii ya Bixby inayopatikana kwenye baadhi ya simu za Samsung maana ninayo kwenye simu yangu ila sijui matumizi yake...
0 Reactions
4 Replies
906 Views
Wakuu Nina wazo kuanzisha website/App inayohusu kilimo na mifugo itakayopatikana kwa lugha ya Kiswahili Kiingereza, Kisukuma, Kichaga na nyinginezo kwa kuanzia nitaanza na lugha za makabila...
0 Reactions
3 Replies
835 Views
Nimenunua simu aina ya Samsung Galaxy tab A6, haishiki network yoyote lakini nilivoingia ndan kwenye setting - conection ile phone network hilo neno halipo kwenye simu. Je inawezekana simu haina...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Cm yangu ni galaxy s 5 ninapotaka ku -Google ina-search lakni baada ya hapo inaandika web-page is not available ko nataka kujua tatizo ni nini @chiefmkwawa
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, nina tatizo linaniumiza kichwa sana na hadi leo hii bado tatizo lipo. nina mashine ya copy ni CANON:IR.2206 imegoma kutenda kazi. Kwenye display inajiandika error halafu...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Niliomba mara ya kwanza wakanitolea nje eti nina reused content, nikafuta baadhi ya video wakanipa muda wa kuomba 17th mwezi huu, imefika nikaomba tena ndo nasikilizia hapa. Nipe uzoefu ilikuwaje...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huduma zetu ni kama: Hotel Management System, School Management System, Hospital na Radio Stream Hosting. Pia tunatoa msaada wa IT Kwakuwa sisi ni wageni hapa, tunaomba sapoti yenu wanaJ Tupo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari waungwana, Simu yangu haikubali earphones. Nikichomeka earphones, speaker ya simu na earphones vinalia kwa pamoja halafu sauti inayotoka kwenye earphones ni very sharp ina mdundo mdogo...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimekuwa nikiona mara nyingi sana inapotokea kurasa ya mtandao wa kijamii kama "Facebook" ya mtu ikawa na kitu chenye taharuki, wahusika hukimbilia kusema wamedukuliwa. Huwa napata kigugumizi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii ndio husemwa kuwa Dadavuzi mpakato ya kwanza duniani, Grid Compass (clamshell laptop) ambayo iliundwa mwaka 1979 na William Moggridge, kwa ajili ya Grid System Corporation ya Marekani. Ilianza...
5 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom