Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama ndio, nafanyaje? Msaada wadau. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heri ya krismasaa wakuu, nilikuwa na wazo la kuanzisha hii biashara ya kuwekea wati liquid protector. Sasa wakuu nilikuwa naomba kwa aliye na uzoefu nayo kwanzia gharama ya mtaji nayohitajila...
2 Reactions
52 Replies
10K Views
Habari wadau, mwenye kufahamu namna ya kushare dish la DStv kwenda kwenye simu naomba maelekezo, asante.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mara nyingi huwa nikinunua laptop mpya hasa online ikaja na Windows huwa inakuwa ina perform fast na smooth ila ikitokea nikapiga Windows chini basi huwa nina note kuwa nilicho install kinaifanya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Je una website iliopo offline? na unataka kuiweka kwenye intenet? pata msaada wako hapo WA BURE pia kwa wanaojua mnaweza kuchangia na kunikosoa!. Kwa mtazamo wangu naona kuna njia mbili kuuu...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta fundi wa mageneretar makubwa kama Cumins, CAT, FG wilson au Perkins Awe mtaalamu wa Control panel na autonation Njoo PM Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza Naomba kujua zile waya zinazotumiwa kwenye internal mobile phone microphone ni AWG ngapi? Nina shida nazo sana na pia nataka kuzijua. Maana nazihitaji nisije nikaletewa...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Kuanzia 2022 na 2024 baada ya kufika kwetu katika sayari ya Mars, tutaanza kwa kuishi katika makazi ya namna hii huku tukiitransform Mars kuwa nzuri zaidi. Picha ikionesha majengo yaliyojengwa...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Wakuu habari, Nauliza ni jinsi gani whatsapp inajiingizia pesa naona hawatumii matangazo kabisa, ingawa unaweza uka upgrade kwa 1 usd kwa mwaka kama wakilipia watu mil 100, jumla wanapata usd 100...
0 Reactions
104 Replies
18K Views
Wakuu uvumbuzi mkubwa kwenye teknolojia umeanza kuleta shida. Robot wa kwanza duniani kupewa uraia wa nchi, bidada Sophia raia wa Saudia amesema na yeye anataka kuwa na familia yake, kuwa na ajira...
2 Reactions
116 Replies
10K Views
Wadau na wanajamii, heri ya mwaka mpya Jamani kama kuna mwanajamvi anajua kuhusu Decorder hii naomba msaada: 1. Namna ya kufanya dish installation 2. Namna ya ku update Nawasilisha. Sent using...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wataalam, Naomba msaada nimejaribu kudownload muda mrefu nimekwama, naomba msaada wapi naweza kudownload software ya bure niweze kubadilisha nyimbo kwenye lap top ziwe kwa MP3 niingize kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habar mateknishan..baada ya kulazmishwa sana juz nmeanza kutumia hz cm infinix somehow zko vzur bt tatzo lake lko kwenye alarm..ndio alarm mara mbil nzma imenidanganya..nmeiset iniamshe mda flan...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Kama mada inavyojieleza hapo juu naomba kujua kama kuna App yoyote inayoweza kupunguza mwanga wa tochi kwenye ukawa aidha hafifu au wa wastani kiasi. Najua kuna wataalam...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana JF, Naombeni msaada kidogo. Nahitaji kubadili jina la account yangu ila nimejaribu kupitia settings zote nimekosa. Nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Wakuu naomba kufahamu kwa mwaka huu 2020, je ni mbinu zipi za kuweza kujipatia pesa kwa kutumia blog? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey nina shida moja kuna rafiki yangu kaibiwa iphone 7 Je, mtu aliyeiba anao uwezo kutoa lock ile ya mbele na akaendelea kuitumia bila kutoa icloud Na je simu ikiwa hajawasha internet ninao...
3 Reactions
8 Replies
965 Views
Wapi dar ntapata strong HD 4920 au 4922
0 Reactions
1 Replies
596 Views
Ni support yenu ya hali na mali ndiyo inayohitajika kwa sasa wadau wa jukwaa la JF. Maelezo: 1. Nenda kwenye google play store kisha andika WIFA kwa herufi kubwa 2. Bonyeza install ianze kuingia...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Back
Top Bottom