Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari zenu wakuu nahitaji kuirestore Galaxy Grand Prime+ ila sijaona pa kuanzia wala kumalizia msaada wenu tafadhalini. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Natumai mu wazima wakuu na wikiendi. Wakuu, ndugu yangu ana simu aina ya Tecno Spark K7. Shida yangu ni kwamba kwa muda mrefu hii some imekuwa utumiaji wake unakuwa too slow yaani unabonyeza app...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu Je keyboard ya HP 8440p inapatikana kwa kiasi gani??? Maana hii iliyopo button A, Q na W zimegoma kufanya kazi
0 Reactions
3 Replies
868 Views
Dell Optiplex 960 inaishia kwenye Window screen, tatizo linaweza kuwa nini?
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Habari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products. Platform ya web yangu nilotumia ni...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Kampuni ya Samsung kushirikiana na Advanced Research Lab (Star Lab) wamefanikiwa kutengeneza watu wasioasilia ambao watakuwa wanafanana na binadamu katika maeneo mbalimbali ya miili yao kama sura...
10 Reactions
74 Replies
10K Views
Salaam wakuu Msaada wa file au link ya unlocked firmware ya oxe begin 101 (simu za halotel) hizi,,zilizopo google rar zake wame zi encrypt Au kama kuna njia nyingine ya kunlock network bila box...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu natumai wote mkosalama, Samahani wakuu Nina simu aina ya Tecno W5 kamera yake ya mbele inazingua inaweka ukungu haionyeshi vizur picha sasa nilikua naulizia kua kuna uwezekano...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari Za jioni wapi nitapata milango ya multlock door kwa hapa dar
0 Reactions
0 Replies
903 Views
Wakuu habar , Mimi Nina simu niliagizaga nje , sasa hii simu imekufa battery now , na battery zake ni zile non removable ... Ukiangalia gharama ya kuagiza battery ni expensive kuliko kununua simu...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu nimenunua simu nokia 1 mkoani. Sasa nimekuja kufanya factory reset then kuweka email yangu ikanambia "this phone was reset..enter the previous email" sasa email hiyo iliyokuwa inatumika...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu, naombeni kufahamu namna ya kusearch mada kwenye JamiiForums, yaani labda nakumbuka jina la topic humu halafu nataka niipate mnafanya vipi? Shukrani.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wataalamu wa haya mambo naomba mnisaidie. Memory card yangu inanionesha alama ya mshangao sehemu zote picha na video. Nifanyeje kuvipata? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu nashindwa kuelewa shida iko wapi. Apk za apps mbali mbali zinashindwa kuinstall napewa huo ujumbe Nifanyeje? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
12 Replies
4K Views
This is the future of power of generation. Clean Energy with little enviromental impact.
0 Reactions
1 Replies
645 Views
Nimepambana sana kupata wauzaji wa scania bus lakini nagonga mwamba, haswa ni kutokana na wauzaji wengi kuuza bus ama chasis zisizosupport system na miundo mbinu yetu, ikiwa system yetu ni left...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kupata app ya Biblia Takatifu yenye vitabu vya Deuterokanoni. Iwe katika lugha ya Kiswahili. Nimeingia Play Store hakuna. Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mpaka nimegombana na watu kisa sijibu sms kumbe hazinifikii nikitumiwa,ndo tatizo kubwa la hii simu sa nashindwa cha kufanya wengine wanasema restart, nayo haijanisaidia nikabadili hata laini...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari za saa hizi ndugu zangu. Leo nataka nishee nanyi jambo dogo tu. Nimeanza kutumia smartphone zenye uwezo wa 3G kwa mda mrefu na labda niseme kwa muda wote nimekuwa nikitumia simu zenye...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari ya muda huu wanajukwaa, Nina desktop yangu sasa ni kama mwezi hivi sijaitumia leo nimejaribu kuiwasha imegoma. Nimesafisha motherboard ila haijawaka na fan haitaki kuspin. Mwenye...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom