Sioni wala siwezi Ku access Application ya Facebook kutisimu yangu. Tatizo nini?
Imepotea tu yenyewe na hats application list za kwenye simu haipo!
Tafadhali msaada kujua kwa nini and how
Wandungu habari zenu natumaini nyote wazima,
Nataka kununua proffesional camera lakini bado sijajua kampuni ipi kati ya hizo ina bidhaa bora achana na aina kwanza naomba msaada wa kiujumla ipi...
Habari wadau wa JF,
Natumia Tecno L8 Plus, kuna siku nilireboot baada ya kuona line ya upande mmoja haisomi network. Tangu nireboot huwa inajiwasha yenyewe na kujizima. Inavyojiwasha huwa...
Wakuu, Mimi naomba kujua namna ya kutengeneza application yoyote kisha kuiweka Google play. Nimejaribu lakini nimeshindwa. Ndipo nikakumbuka kuna majiniazi humu wanaweza.
Ebu nisaidieni.
Mambo vipi,
Mimi ni completely biginner, nataka nianze kula misuli ya online na YouTube kuhusu python.
Target yangu ni Data science.. Tatizo linakuja nitaanzaje na nitamalizaje, ili ni full...
hey guys .....wazima
Thefreedom hapa
naomba leo nimalizie kujibu ombi ambalo walionirequest niwasaidie kuweka uzi wenye full info kuhusu kufanya port forwading bila router na jinsi ya ku access...
Wadau naomba kuuliza maswali mawili mwenye kujua anielekeze.
1. Wale wenye followers wengi Instagram hadi wanakuwa na tick ya blue hivi wanapata hela au inakuaje, yaanikiufupi wanapata faida gani...
Wakuu habari naomba msaada nimenunua simu redmi note 7 nikadownload dstv now meseji inayonipa ni kuwa my device is not certfied na uakienda play store kweli kuna hiyo kitu nafanyaje cc mwl rct...
Ebana mambo vp wakuu, kulingana na mada tajwa hapo juu, wengi wanapenda sana kujifunza maswala mbalimbali ya nayohusu web programming kwa ujumla.
Waswahili nao hawakubaki nyuma walipodai "kizuri...
Miaka ya hivi karibuni ilionekana kuna tatizo katika suala la kuchaji simu zetu. Kwamba inachukua muda mrefu sana kwa simu kuchajiwa hivyo muda mwingi unapotea katika kusubiri simu ijae.
Sijajua...
Habari ndugu zangu wana Jf,
Nimenunua Kitochi 4G ya Vodacom sasa ninahitaji huduma ya ku unlock hiki kitochi ili line namba 1 ikubari mitandao yote
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba kujuzwa google Adsense alternatives kwa ajili ya Blog yangu (ina .com extension), pia ina 1500 page viewers/ day.
Mimi ndio naanza kabisa kujifunza coding au mambo ya programming.
Wakati nataka kujipinda nianzie html jamaa yangu ameniambia nisihangaike nayo kuna language nyingine imetoka inaitwa Flutter...
Habari wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza naomba msaada kwa yeyote anayeijua App ya kuvuta sauti kwa mfano upo kwenye mkutano mwishoni na hakuna spika yaani mkutano hawatumii redio, so we ukifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.