Wakuu poleni kwa majukumubya kuijenga Nchi yetu changa,naomba kujuzwa aina gani ya Apps nzuri ya kuchunguza kinachoendelea katika simu ya kijana wangu,mahitaji yake ya Chuo siku hizi yameongezeka...
Habari
Nimeshusha mzgo wa fifa 19 muda si mrefu, nime~install na kuwza kuifungua the game but it tells me directx error...nmejrb kudownload directx 11 bila mafanikio
Mwenye ujuzi wa haya mambo...
NIMEONA WATU WAKIANGAIKA JINSI YA KUTOA FRP KWA TECNO N2 ANDRID 6.0 SASA SOLUTION NI HILI NIMEWALETEA FILE DOGO TU AMBALO LIKO CUSROMIZED LINAWEZA KUTOA FRP KWA SIMU YA TECNO N2 BILA KUPOTEZA DATA...
Habari wadau, naomba kujua nifanyaje ili niweze ku-trace location ya namba ya simu iliyonipigia au ninayoipigia. Natakiwa kufanyaje au niwe na nini ili kufahamu mtu huyo yupo wapi. Nisaidieni...
WanaJF habarini!
Mara nyingi niwapo Vijijini (sehemu ambazo network ni dhaifu) napendelea kutumia simu ndogo (ya batani/java phone) maana smartphone huwa slow kupita kiasi tofauti na simu ndogo...
Nimepita mtandao wa Android Police ambao wameichagua Pixel 3A kuwa ndio simu bora kwa mwaka 2019. Sasa nikiangalia bei yake si ya kitoto halafu sioni kama ina watumiaji wengi Tanzania.
Sasa kwa...
Habari za mchana wadau
Juzi hapa nilileta habari kuna jamaa kaniuzia laptop accer sasa hii laptop nimekuja kugundua USB port zake supported ni 3.0.
naombeni msaada wa tofauti kati ya 2.0 na...
Hii ni Simu ya Samsung Galaxy A50, ambayo ni miongoni mwa simu za bei nafuu kutoka Samsung. Kwenye hiii video naelezea experience yangu ya kutumia hiii simu kwa miezi 7 ili na wewe uelewe kama...
Je,naweza kui-root simu yangu Sony ambayo ni 3G iwe 4G??
Au iwe na mifumo ya simu nyingine ambazo ni 3G??
Kwa hapa dar es salaam,niende wapi ili nifanikishiwe ili jambo?..niandae shilingi...
Heri ya mwaka mpya wakuu..
Kuna fundi kamfungia bi mkubwa solar, tangu tarehe 30 December
Sasa taa zinawaka ila inverter inawasha taa nyekundu na kupiga alarm. Fundi aliwaahidi kuwa jua likiwaka...
Wakuu heri ya mwaka mpya,
Mwenzenu nimeanza na majanga kidogo. Baada ya kuomba ushauri wa ku activate Window kwa kutumia KMS
Ilishindikana na nikaachana na hiyo issue, so sikuitumia kwa muda kama...
Wakuu habarini, TV yangu aina ya TCL Smart TV imepigwa shoti haiwaki fundi kasema card ya Tv imeungua.
Sijui naweza pata card ya TV kwa bei gani na maeneo gani kwa Dar es Salaam?
Naomba kwa anayefahamu performance ya "Realme x2 Pro" ikoje, ambaye ameshaitia mikononi au ambaye ana experience na simu za "Realme" aseme neno.
Na price range kwa bongo ikoje. Nimeona ina specs...
Wana jukwaa naomba msaada kwa fundi anaeweza nirekebishia camera ya simu aina ya Google pixel maana kupata spares imekua ngumu kidogo kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.