Ningependa kuwauliza wanaohusika kwamba je, kuna app ya jamii Forums kwa ajili ya simu zinazotumia windows 8 OS? Kama bado, kuna mpango wa kutengeneza? Nawatakia siku njema!
Wadau tablet ya techo H8 mwanzon nilivo Nunua ilikuwa inakua full kwa muda hata wa masaa 2 na nusu ila siku hizi iwe full unachukua zaidi hata ya masaa 13 . apps nimeweka nyinginyingi games pia...
Hivi karibuni, makampuni makubwa, Facebook, Google na mengine kama sikosei yalishtakiwa kwa ku monopolize masoko.Yaani, kuwa na Apps nyingi zaidi ili kuweza kuliteka soko wao tu peke yao kwenye...
Habari wakuu!
Nahitaji kupata FTA channels. Interest yangu ni news, documentaries, music na local channels. Ipi ni receiver bora kwa matumizi haya kwa sasa? Wapi naweza kupata?
Habari wanajamii,
Ninaomba kufahamu hii Android security patch inasaidia nini kwenye simu sababu kwenye simu yangu huwa inakuja system update ya hiyo kitu.
Shukrani.
Habari za kazi wakuu nategemea mko wazima wa afya na heri ya skukuu, baada ya muda mrefu kutumia PC zenye slot ya SIM CARD bila kuwa na WWAN adapter juzi nilifanikiwa kupata new pc yenye iyo port...
Wadau vp,?
Nashindwa kudownload videos kutoka youtube kwa kutumia tubemate, vidmate naambiwa app hzo hazijawa verfied na youtube
Nifanyeje au nitumia app gani kuzipata video za youtube? Maana...
PayPal is the most loved way to buy items worldwide using online shops like EBay, Amazon and others. In fact its the number one used service which helps to shop online quickly and securely.
Why...
Heshima kwenu wakuu.
Mada inajieleza. Kumekuwa na mgongano wa kimawazo kuhusu Nani mkali wa kufunga mziki kwenye gari jijini Dar?
Wanasema Dicksound ndo baba lao. Wengine wanasema kuna wakali...
Wajuzi wa mambo ebu nijuzeni, Jana na hata leo nikiplay kitu kwa VLC player kwenye computer yangu nao kile kilogo cha vcl kimevalishwa kofia ya father Christmas, sasa hii inawezekanaje wakati...
Nina receiver mediacom imeandikwa DiSEqC 1.2 MPEG2 DVB digital satellite receiver na ungo mdogo wa startimes. Ninaweza kupata channel zozote hapo hasa za nyumbani Tanzania?
Moja kati ya matatizo ya zama hizi kwa watumiaji wa simu ni uwezo wa simu zao kukaa na chaji. simu zinakaa na chaji kwa muda mchache kiasi kwamba inabidi wajinyime matumizi waache kufanya vitu...
Wadau naomba nijuzwe hii kadi ya MasterCard iliyozinduliwa jana inapatikana vipi na kwa masharti na vigezo vipi?
Na pia inaweza kuunganishwa na paypay au skrill?
msaada tafadhari bandugu
Msaada jinsi ya kuondoa white dot kwenye tecno wx3.
Nimejaribu njia kadhaa sijafanikiwa.
Mfano njia ya kuingia setting >apps>assistive touch ila sijafanikiwa , pia njia ya kuingia developer...
baada ya kuona watu wapo aware now na masuala ya internet naandika hii post kuwasaidia watumiaji wa simu kuweza kupata kile anachokipata mtu wa pc
MASUALA YA MOVIES
Kwa wale wenye bundle za...
Hello bosses...
Kwenye kupitia pitia makala mbalimbali mtandaoni na pia humu nimeona watu wanaipondea sana php kwa sababu zisizo za msingi. Hivyo naona na mimi niseme machache kuhusu hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.