Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakubwa..naomba kuuliza je ni vitu gani hupelekea fingerprint za iphone especially matoleo ya 6,6s,7,7plus n.k kufeli? wakati hilo halitokei au ni nadra kwa simu za android.. Naomba...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu kuna tatizo moja lipo hivi, ipo namba ya simu ambayo mara nyingi huwa nawasiliana nayo hasa katika mtandao wa WhatsApp na mpaka aanze yeye, au ananibip muda huo nikitaka kumpigia inasema...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wale wanaotaka kujifunza coding ingia huku ujiunge bureee kabisaa Utajifunza kila kitu kuhusu computer, coding Karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu wana JamiiForums nimeandika kitabu changu kidogo cha kama page 100 hivi, kutokana na kuwa na budget ndogo kama laki 7 hivi kuna mtu kanishauri kununua printer, paper cutter na stepla ili...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau nikiri nilinunua laptop mwaka 2010. Mara ya kwanza nikatumia ikafa betri. Nikanunua nyingine HP imekaa miaka kadhaa ikapunguza kukaa na chaji kabisa. Swali ni je ipi sahihi kuchaji laptop...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wana jf Husika na kichwa cha uzi naomba ushauri, pia na bei yake na kwa mbeya ni duka gani wana bei nafuu? Naomba kuwasilisha.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, habari! Nina simu tajwa hapo juu, ambayo nimenunua kama mwezi hivi umepita. Shida kuu ni ku stuck/freeze mara kwa mara, zaidi sana nikiwa naandika sms.. na wakati mwingine kioo kinakuwa...
3 Reactions
16 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa utafiti uliotolewa na serikali ya Marekani kupitia taasisi yake ya viwango na teknolojia, NIST, mifumo ya utambuzi wa sura (facial recognition) inaweza kutoa matokeo yasiyo sahihi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
What are the con and auxi files in window operating system? Explain two ways to create and delete those files. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
584 Views
Habari zenu wakuu, Hivo nahitaji kujua kuhusu kipato cha mtandao huu mpya wa Taxify, hivo njia gaani wanayoitumia hii kampuni kupata mshiko wao maana nimefanya survey ya boda boda wengi maelezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bila shaka mu buheri wa afya. Kinyume na hapo ni mwili tu kupitia katika changamoto fulani fulani ili kujiimarisha. Simu yangu ina muda sasa, Play Store haitaki kudownload App yoyote. Yaani...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
BADO MWEZI 1 TU! KUFIKIA MWISHO WA MAISHA YA WINDOWS 7 Tarehe 14 January ndio siku rasmi kampuni ya Microsoft kuacha kuitunza Windows 7, hivyo watumiaji wake hawatapata msaada wowote tena...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Naomba anayeijua hio simu tajwa hapo juu anisaidie kunipa uzuri wake pia weakness zake. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
822 Views
Nenda ktk mada husika hivi nimekuja kwako kutafuta spare kama fundi or mteja nikakuambia niana shida na kitu or spare flani ukaniambia unayo nakuuliza mzima unaniambia ndio nakulipa kama...
0 Reactions
2 Replies
507 Views
Kinaitwa "The spy and traitor" Author: BEN MACINTYRE Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
852 Views
Hey mabahria wenzangu hivi karibun nilipata Vicente nikaona si mbaya kama nitanunua haka kamcuine ili niwe nafanya usafi mara kwa mara ila Toka nimekabunua mpaka leo sijakatumia hata mara moja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Hii simu inaandika hivi shida itakuwa nini? Nimerestore ila bado inagoma Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Apple, Google, Tesla na Microsoft ni baadhi ya makampuni yaliyotajwa katika kesi ya madai ya fidia ya vifo na majeraha ya wachimbaji watoto wa migodi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo,DRC...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nime root sim yangu TECNO Y3+ nikafuta system app nimefta dialer sasa nikadownlod nyingine nikimpigia mtu inaita ila haileti sehem ya kukata yan kiufupi haionyeshi kama ipo inaita msaada tafazal...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
naombeni msaada wa looping ya network ktk Circuit ya Tecno L8 , njia yake imengo'ka Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom