Wakuu natumah mpo njema ile kinjema
E bhna jamaa zangu nina shida sana na game la FIFA kwajili y kulicheza kwny pc mwenye set up zake naomba naomba anifanyie busara jmn
Mwenye nalo la mwaka...
Habari wana jamvi, nmeroot simu yangu ya tecno y3. Android ya simu ni 4.4.2 . Sasa nataka kuiupgrade kwenda 5.0+ nisaidieni wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wajuvi,
Natumia sony xperial Z2 yenye android marshmallow nashidwa kabisa kuielewa (kuifurahia) android marshmallow maana nikijaribu kuroot kwa kingroot au kingoroot inakataa na mimi bila...
Habari za muda huu wadau! Nawasalimu,
kama kichwa cha habari kilivyoeleza nakaribia kumaliza chuo hivyo natamani nifungue ofisi ya kufanya maintenance na graphics.
Kwenye comp maintenance...
Habari wadau,
Kama kuna ambae amekumbwa na tatizo kama langu nahitaji kujua amelitatuaje. Natumia yo WhatsApp lakini toka jana nikaambiwa niupdate new version, ile kuupdate new version nakuta...
Kwa wale wenzangu wa ku design kwenye Adobe.
Pale unapoingia katika Mini Bridge ukichagua picha inagoma pia inaleta maneno kama hivi.
Pia ukihamishia picha kwenye Sim ukitafuta kwenye Sim...
Waungwana nina tatizo na simu yangu aina Samsung S9+
Hii simu kila zikibaki MB kuanzia 200 basi inapoteza intenet access. Lets say umeweka kifurushi (data bundle) basi nikishapokea ile taarifa ya...
Kama kichwa kinavyojielewa wanajukwaa nina blog yangu naiendesha kupitia simu sasa inakuwa ngumu baadhi ya vitu kuviset hivyo nahitaji laptop. Je niandae bei gani na laptop iwe na space zipi ili...
kwa watuiaji wa cm za ideos/smartphone phone book yako yote hata kama una cm tano unaweza sync(hawilisha kiswhili chake sijui ndiyo hicho) zitasomeka kwenye mail yako na kwenye cm.kwenye cm...
Wakuu habari
Naomba msaada, jinsi naweza kudownload free mp3 audio files kwa app au namna nyingine nikitumia simu yangu
Asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau kwa mwenye kujua mashine/printers zinazoprint pvc cards/plastic cards kama vile ATM CARDS, VITAMBULISHO AU BUSINESSCARDS, kwa maana ya zinakowezapatikana nchini Tanzania na pia bei zake...
Kampuni ya vifaa vya kielektroniki ya Samsung imekuwa kinara katika soko jipya la 'Smartphones' zenye uwezo wa 5G ikiweza kuzalisha simu za 5G takribani robo tatu ya uzalishaji wote ulimwenguni...
Wakuu, nategemea mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu kama kawaida.
Wakuu simu yangu nilibadili password kwa bahati mbaya nilisahau password mpya niliyoiweka. Nimeshidwa kuifungua...
Habari Wakuu, Natafuta mashine ya simu aina ya LG Nexus 5X, Iwe nzima au nauza kioo full cha hiyo simu pamoja na betri yake.
Nitashukuru iwapo nitapata. Mawasilaiano yangu ni kwa namba 0717540261.
Heshima kwenu wakuu.
Naomba msaada wa app ambayo inaweza ku-sign PDF kwa kutumia simu wakuu. Nilikuwa natumia Adobe Auto Fill ila tatizo sijaona option ya kubadilika rangi iwe ya blue ionekane...
Hello Tech. guys.
Nimetengeneza hii M-Pesa Mastercard lakini imekataa kwenye playstore, aliexpress na paypal.
Yoyote ambae ameshwahi kutumia huduma hii kwa mafanikio anieleweshe.
Mana hizo...
Kwa watakaonielewa, huwa nina utaratibu nasave mapato na matumizi ya kila siku kwenye Hiyo App hapo juu ila huwa natumia simu.
Sasa nahitaji kuhamisha huo utaratibu kwenye computer yangu. Sijui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.