Mambo vipi wakuu?
Mimi niko na simu yangu Tecno Camon CX toka 2017, sasa tatizo limekuja baada ya kumuazima jamaa yangu hii simu na kunirejeshea ikiwa haichaji kwa haraka kama mwanzo. Hapo awali...
Last week nilienda Kariakoo. Kila simu kali ninayoulizia inaanzia 400,000 na kuendelea.
Wakati natoa hela mfukoni ili ninunur simu aina ya Oppo au Samsung ambazo nilimwambia yule dada aniwashie...
Habari wataalam,
Nina Tv flat ya solar pekee (hizi zinazokuja na vifurushi vya umeme wa jua kama Mobisol na Zola) Je, naweza kuongeza kifaa gani ili nitumie katika umeme wa ac?
Ni lazima nipate...
Habari wataalamu,
Naomba kuuliza kati ya hizi flat Tv mbili ikiwa ukubwa wake ni inch 32 zote ipi ni bora zaidi kuanzia durability, picture quality muonekano na value for money?
Asante, naomba...
Jambo Wakuu?
Nimekuwa napata utata wa ni njia ipi ya kutunza battery ya laptop isiharibike nguvu ya kukaa muda mrefu kwa sababu nakutana na maelezo ya aina mbili.
NJIA YA KWANZA: Ni kuwa inabidi...
wakuu vp.
nimepata changamoto kushindwa kupata apps ya kushare files kati ya pc na simu na nina hitaji sana.
nimejaribu blue stuck ila inazingua sana kwenye pc yangu na ipo slow.
nimejaribu...
Data scientists ni MTU anayetafuta pattern kwenye data nyingi (big data), Zifuatazo ni kaz za data scientists on daily basis
Ku-build data storage systems Kwa ajili ya ku-store big data
Ku-clean...
Naombeni msaada wenu wakuu nimepoteza simu yangu ya batani naipenda sana. Naomba nijue kama naweza ipata au mwenye utaalam huu naomba tuwasiliane PM ili anisaidie msingi niipate..
IMEI ninazo na...
Tumeambiwa wanakuja na vitu vikali na wamezindua OS mpya na kuyumbisha soko la wakina Android. Matokeo yake sasa wanashinda mahakamani kupinga ban.
Nadhani wale wabishi msiotaka kuelewa ndio...
Wana Youutubers, wazee wa Google wameleta vigezo vipya ambavyo vitaanza kazi tarehe moja mwezi wa kwanza.
Huu uzi tuufanye kama wa majadiliano ili rungu hilo litupitie mbali maana milions of...
How to increase shutdown speeds in Windows 10
Some vizuri kabla hujafanya kitu chochote kile kwenye hiyo WINDOWS REGISTER kwani unaweza kuharibu hiyo WINDOWS REGISTER yako na computer isiweze...
Salaam Wakuu.
Naombeni muongozo kati ya hizo simu mbili hapo juu ipi inaweza kumfaa shemeji yenu Wakuu.
Nilifikiria na Samsung A10 ila shemeji yenu hataki Samsung that's why nikasema niombe...
Habari wana JF,
Nimekutana na changamoto katika kufanya designing ya gazeti for Printing. Software ambayo nayotumia katika designing ya gazeti hili ni Adobe InDesign.
Najifunza designing ya...
Ni matumaini yangu mko vizuri Sana wataalamu. Subwoofer yangu ghafla haitoi bezi Kama ilivyokuwa mwanzo. Speaker ndogo peke yake zinaimba. Bahati mbaya Haina sehemu ya kuongeza bezi Kama...
Hello JF,
Natumaini wote mko powa...
Ningependa itengenezwe website/App..
Kwa watu wenye matatizo ya akili..
Wao na wanaowatunza..kushare their experieces..na kupata access to treatment...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.