Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Msaada wadau nahitaji mwenye kujua website (Sio App) ambayo ninaweza kustream vipindi vya Tv za Tanzania live maana nimetafuta tangu jana sijaweza kupata.
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu niliambiwa TTCL Wana bundle mrua la data, nikaona isiwe tabu nikatafuta laini ya TTCL , cha ajabu Kwanza sjui hawana menu Wana application ya kujiunga na vifurushi na penyewe lazma uwe...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Aje wakuu Naombeni msaada wa Desktop computer hipi inafaa kwa 3D graphics Design, Gharama yake na mahali pakuipata Naihitaji kwaajili ya 3D design na Video Editing for personal user
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu msaada tafadhali, Photocopier yangu aina ya Canon ImageRunner 2202 imeniletea Error 0002-0000. Tafadhali Mwenye kujua jinsi Ya kutatua tatizo hili anisaidie Tafadhali. If Possible anaweza...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kwema, Naomba kujua performance kati ya hivi vifaa viwili vya kielectronic kwa aliyewahi kutumia mojawapo kati ya hivo au vyote. Nimeshatumia S7 Edge version ya USA verizon (Snapdragon...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini Wakuu mimi sio mwandishi mzuri sana hapa JF ila naomba kupata maoni kutoka kwa Watanzania wenzangu juu ya hii namba ya kituo cha Dharura 911 Tanzania. Nilishajaribu mara kadhaa kuipiga...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kardashev Scale ni mfumo wa kupima uwezo wa jamii iliyostaarabika (civilization) kiteknolojia kutokana na kiwango cha nishati wanachoweza kutumia. Mfumo huu ulioanzishwa na mwanasayansi Mrusi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu, Naombeni msaada nifanyeje recently nimedownload game la fifia 19 bahati mbaya linagoma kucheza linasema, ninapojaribu kustart inasema `display driver stopped responding and has...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa anayefahamu kwanini meter ya maji inazunguka kama mota bila hata ya kufungua koki ya maji. Nimefuatilia bomba hakuna leakage yeyote ya maji. Tatizo ni nini?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari zenu wandugu? Husika na mada tajwa hapo juu. Naomba kuelekezwa namna ya kufuta akaunti yangu ya Instagram maana nmegundua mimi sio mpenzi wa huu mtandao so app yake inanijazia tu simu...
1 Reactions
2 Replies
8K Views
Habari jamani Hapa kuna nini naona trending category zimekaa tenge badala ya kukaa kama ilivyo kwenye popular posts (Headings) pekee. SITE : AjiraAlerts | The Home of Smarter Job Seekers. A...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Salamu wapendwa, Napenda kufanya video editing, Tafadhali mwenye free app anisaidie Asante
0 Reactions
1 Replies
991 Views
Wakuu habari? Je naomba kujuzwa ubora wa hiyo simu na madhaifu yake. Ahsante
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Hivi wakuu naweza prove aje kuwa managerdhlcompany01@gmail.com ni email ya Manager wa DHL Senegal, maana naona naweza nina mashaka na hiyo email kama kweli ni ya Manager wa DHL. CHIEF MKWAWA
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari ndugu,naomba kwa wale wote tuliopo Jiji la Dodoma na tuna ujuzi kuhusiana na computer na hata kama mtu ana elimu kuhusiana na computer,naomba tutafutane kuna ishu ninayo hapa. Nitafute...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nipo najichanga nataka kununua tena simu janja baada ya kusota miezi kadhaa. Kama uzi unavyosema ninunue simu gani kati ya hizo? Kama unatumia simu mojawapo naomba kasoro na sifa nzuri (sio...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Njia hii ni nyepesi sana, kinachofanyika ni kupewa siku 30 upya na utatumia idm kwa mwezi mzima na baada ya hapo utarudia tena kuongeza muda.. VIDEO YA MAELEKEZO. DOWNLOAD...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kujua app ambazo unaweza Fanya survey na ukapata pesa iwe kama Salio au mda wa maongezi.Asante
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Habari za weekend wakuu,najua mpo salama.Nilikuwa naomba msaada mwenye microsoft office 2007 au 2000 ani attachie hapa jukwaani nina shida nayo na hapa nilipo nimeshindwa kuipata sababu niko mbali...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom