Hello guys,
Ninahitaji kujinoa zaidi mbinu za kushinda kwenye drafti, nahitaji kufanyia mazoezi mbinu za kwenye vitabu kwa kutumia PC au simu.
Mfano kuna mbinu inaonyesha jinsi ya kushinda iwapo...
Wadau naomba msaada wa kujua, Je tupo ndani au nje ya dunia? Kwa nini satellite, dunia na mwezi havianguki? Je dunia ina umbo kama la yai au mpira?
reyzzap,
Denvers,
Mwifwa,
Baba Swalehe, na...
Habari Wanajamvi, Kwa Wale Ambao Ni Wapenzi Wa Movies/TV Series au hata Wale Ambao Huwekeza Muda Wao Wa Kupumzika Kwenye Movies Basi Leo Naomba Tushirikishane Jambo Jema. Hii Ni Modded App Ya...
Naona ni bora nijitoe kwenye chama la wana, sijapenda kitendo nilichokikuta katika simu mpya ya Tecno.
Anayejua bei ya kitanzania ya S8+ mpya na sifa zake kwa aliyezitumia anisaidie.
Habari JF!
Natumai mu wazima wa afya. Leo nataka kugusia kidogo jinsi ya kuandaa folder kwenye computer yako bila ya kuonekana jina la hilo folder.
Huu ni kuendelezo wa Tech Tricks tu katika...
Shirika la ujasusi na uchunguzi wa ndani la Marekani la FBI, limewataka watu kuwa makini na Smart TV majumbani kwao. Wadai wadukuzi wanaweza kudukua TV janja kwa urahisi.
Shirika la FBI limeweka...
Wadau wote kwa pamoja ebu tupeane elimu ya nin una fahamu kuhusu azam tv.. Binafsi natoa freequence hapa na matumiz yake karibuni wote.
UPDATE...
................................
Kama una dish...
Wakuu, salaam.
Nimefuta SMS muhimu sana accidentally kwenye simu ndogo ya kawaida ambayo sio Android.
Kwa technology, kuna uwezekano wa kurejesha deleted SMS kwenye simu non Android?
Please help!
Naomba kujua coding, mimi ni beginner nianzie kitu gani. Nataka niweze kuingia kwenye website niweze kuedit code na kutengeneza scripts.
Kwa sasa naingia natumia ujanja ujanja kuedit...
Natumia Exim Bank Pre paid Card, kwa kazi hasa ya kuhamisha pesa (top up )kutoka bank kwenda account yangu ya Scrkll ili nitume nje in USD. Lakini cha ajabu katika hatua ya mwisho tu pale kwenye...
Mimi ni fundi wa simu lakini nipo upande wa hardware, lakini kutokana na nahitaji ya wateja sasa nahitaji kujifunza software.
Naombeni msaada nianzie wapi niwe mtaalamu wa haya mambo?
Heshima kwenu wakuu.
Nahitaji kufanya biashara mtandaoni, ambapo kwa muda mwingi nitakuwa online. Kwa kuwa mimi si mjuzi wa computer, ni computer ipi inaweza kunifaa:
- Yenye ukubwa (Ram &...
Mwenye Gaming CPU aje tufanye exchange na Laptop
Dell Latitude E6220
Core i5 2nd Gen
Processor 2.50 GHz (4 CPUs)
Ram 4GB
HDD 210
No Battery
Nahitaji CPU yenye Kusukuma Games hizi
Fifa 18
Fifa 19...
Habari,
Naomba kwa mwenye maarifa/ujuzi wa namna ya kurecover/kupata documents kwenye flash ambayo haisomi tena kwenye computer.
Yaani ni kama imekwisha haribika, ukizingatia documents zilizopo...
Zitafute hizi kwenye Google:
- Electrical Engineering Portal
- StudyElectrical.com
- ETRICAL
- Electrical Engineering Tour
- ElectricNet
- The Engineering guy
- The Spark Gap Podcast
- Talking...
Msaada wa app ya Whatsapp inayoweza ku forward message nyingi kwa wakati mmoja maana hii ya kawaida inatesa kufoward kwa vitu kwa watu wengi nilizoea GB lakini nayo mwisho kuforward watu wa tano...
Wadau naomba wenye ujuzi au ufahamu katika masuala ya projector wanisaidie.
Nataka kununua Projector kwa ajili ya kuangalizia Tv/Movies. Nahitaji kufaham kama kuna mtu anafahamu vitu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.