Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
FARAGHA MTANDAONI ‘’Ogopa sana Mungu na Teknolojia’’ hii ni kauli iliyowahi kutolewa na marehemu Ruge Mutahaba aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji Clouds Media Group (CMG). Msingi wa...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna wakati tuliambiwa mtandao wa Vodacom umevujisha taarifa sijui umehakiwa. Wakati mwingine tunaimbiwa kuna wezi wa mtandao wanaingilia Tigopesa na M-Pesa. Sasa najiuliza, je taarifa zetu...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Hali halisi ni kama inavyoonekana kwenye picha, mawimbi upande wa chini. Bado sijajua chanzo ni nini ila nahisi watoto waliharibu. Natanguliza shukran.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Nimejaribu: 1. Nikitumia miracle box inafeli kwenye "downloading boot 8" then inajifunga. 2. Kuweka custom ROM kwa sp - flash tool, nimefeli. 3. Nime apply update kutoka kwenye sim card inagoma...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ilikuwa juzi tuliposhuhudia Tesla wakilaunch CYBERTRUCK yao mpya. Mpaka sasa hivi siku mbili zimepita Tesla wamepokea order 150,000 mpaka sasa ambapo initial deposit ya order ni $100 lakini cost...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Serikali yetu sikivu ya wanyonge hili suala vipi? Mbona free channels kwenye visimbusi vingi bado ni tatizo mpaka leo? Kama serikali imeshindwa kutatua hili tatizo, basi warudishe utaratibu...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Naombeni mwenye kujua procedures za kucompile documents kwenye file moja.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada wapendwa nimebadili window 10 nikaweka window 7 kwenye Lenovo laptop baada ya kukamilisha kuweka window touchpad ikagoma kufanya kazi. Nikahisi labda window 7 niloweka ndo imepelekea hilo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninampango wa kununua printer za Epison. Naomba kujua ni printer gani ya Epison nzuri yenye gharama nafuu?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Siku zinavyozidi kwenda suala la faragha (privacy) mtandaoni limeanza kupotea na watumiaji wengi wa mtandao hawafahamu kwamba faragha zao wanapotumia mtandao zipo hatarini kuingiliwa. Naweza...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Ukirudi nyumbani wanawake wenyewe tuliowaoa hawatufanyii massage
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nilikuwa naomba msaada simu ipi nzuri kati ya Nokia na samsung na simu mbili hapa kati ya Samsung A70 na Nokia 7.2. Ipi simu nzuri au company ipi ina simu kali kwa sasa kwa upande wa camera au...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ni tenda kubwa ambapo napanga kutumia fedha/kuwekeza katika huu mradi. Watoa huduma ya SEO kwa tz kama kuna anayeweza hii tenda tuwasiliane. sasa mimi nataka mtu au kampuni bora ya...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna siku hapa Chuo (DIT) nilimuona mdau mmoja akipiga msuli laptop aliyokuwa akiitumia ni Macbook nilimfuata jamaa ili nimuulize machache kuhusu Macbook laptops kwa sababu na mimi nilitamani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Naomba msaada kwa yeyote ambaye labda alishawai kukutana na tatizo kama hilo la touchpad ya Lenovo kutofanya kazi. Na hii imetokea baada ya kubadili Window 10 na kuweka window 7.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Je, unapenda kutengeza kitu chako ambacho umekitolea jasho? Je, unapenda kujifunza technology mbalimbali hususani za kompyuta? Je, unapenda kujua jinsi website zinavo fanya kazi.Basi hii thread...
16 Reactions
201 Replies
32K Views
Wakuu mimi natumia decorder ya Azam. Lakini kitu cha ajabu nashindwa kuona/kupata taarifa ya habari ya saa mbili usiku ya Azam kupitia king'amuzi chao. Zile local channel zingine zote nazipata...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari waungwana naombeni kujua App nzuri kwa kudownload audio yoyote ile ninayoitaka. Mara ya kwanza nilikuwa natumia Vidmate ila sasa hivi naona ishaanza kuzingua. Ahsanteni.
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Wakuu habari zenu. Nina laptop aina ya Dell ambayo nimekuwa nikiitumia kwa muda mrefu sasa. Siku nne zimepita ambapo nilipomaliza kuitumia, nikaizima kama kawaida. Sasa jana mchana nikataka...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu habarini. Naomba kujua kwanini iPhones zina specifications ndogo ukilinganisha na simu nyingine zote hata ambazo zinachipukia. Sijaona iPhone inayozidi hivi vigezo: - Maximum RAM 3gb -...
58 Reactions
581 Replies
79K Views
Back
Top Bottom