Naomba kujua nifanyaje, flash disk yangu nikiingiza kwenye PC haioneshi chochote (Yaani kama sijaweka kitu). Au ndio ya kutupa tena ishafikia mwisho wake?
What is the difference between http and https?
Some of you may be aware of this difference, but it is worth sharing for many that are not.
The main difference between http:// and https:// is all...
Kama kawaida unapokuwa unaandika au unadesign kitu chochote kama vile website au graphics za aina nyingine kama wallpaper, brochure, poster, logo, vitabu au newsletter nk. basi utakuwa na fonts...
habari za saizi wakuu
hapa nazungumzia games za pc ps xbox kuna games nyiingi saana na kali kiupande wangu game nilizowahi kucheza na ninzuri kwa mpira ni
1.fifa19
2. pes2020
za kivita
1.call of...
Hadoop data storage for semi structured data, and unstructured data
Hadoop distributed storage
Hadoop centralized storage (data lake)
Cost of acquire and own hadoop
Hadoop is free and open...
Habari wanajamvi niende kweny mada, nimefungua account mpya facebook sasa naombeni msaada wa kufuta ile ya zamani kama inawezekana......yaani kuiondoa kabisa. Natanguliza ahsante na shukrani.
Unaangalia uzi fulani, na huo uzi una video, ukiifungua hiyo video unaambiwa view attachment lakini nikikliki haifunguki.
Wadau kwa hapo nifanyeje ili niione hiyo video?
Inakuwaje wakuu natumain mko vizuri sana usiku huu
Mim kuna kitu kinanichanganya sana katika swala la SEO kwenye website na blogs hasa hizi za hosting ya google, nimekuwa nikigoogle na kujaribu...
Ni siku 8 leo nalala giza, joto limenishambulia mpaka limeshinda. Siku ya tatizo nimenunua umeme sasa naingiza umeme ukaingia ila ndani haukuwaka. Nikawapigia simu wakasema imejilock nisubiri...
Ninatumia Samsung Smart 40, 4k. Ilianza shida ya kuonyesha hizo rangi. Inaonyesha kwa muda inarudi kawaida. Ila tokea juzi haijarejea katika hali yake ya kawaida.
Shida ni nini? Na inatatulikaje...
Wakuu salamu zenu katika ubora.
Samahani nlitaka kuulizia sifa na ubora aa simu za OPPO. Nina 250,000 so naomba ushauri, na hapa Dar es salaam-Kariakoo dealers wanapatikana wapi.
Sifa zihusishe...
Hello guys I hope mko poa,
Ninayo digital alarm clock inatumia battery moja zile kama za kwenye remote, sasa kero ni kwamba napozinunua battery zikiwa mpya huwa zinafanya alarm ipige kelele mpaka...
Wakuu heshima kwenu,
Kama kichwa cha habari kilivyo naombeni msaada tafadhali nimetumia zile njia za kikamanda kubonyeza power button na volume button Kwa wakati mmoja imefikia sehemu sasa...
Habari wakuu, nahitaji kununua simu hii Huawei Y9 Prime ila sina uzoefu nayo na sijawahi kuitumia. Katika hii simu nimependa display kubwa, front camera desgn, na ubora wa picha kwa matumizi ya...
Kawaida ukiwa na Website baada ya kutengeneza lazima uunge Website yako kwenye searches kama Google, Bing n.k.
Pia ilikuwa lazima ujiunge na huduma kama Google Analytics, Google Console, Site...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.