Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama hapo kichwa kinavyosema, nilikuwa naomba tujuzane ni kampuni ipi nzuri kwa bloggers ili kuweza kupata faida kutokana na blog yake. Najua wapo waliofaidika na wanaofaidika hivi sasa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba Mwenye uelewa jinsi ya ku-block SMS zinazoingia kwenye sim bila Namba ... Kwa mfano Alert za polisi, mtumaji husomeka POLISI bila Namba kuonekana Ninachohitaji sasa hapa "Ni Jinsi ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Watalaamu habari, Naomba kufahamishwa nini kazi za South Bridge na North Bridge katika kompyuta?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana jukwaa, Tatizo lilianza pale tu ambapo simu ilianza kusitisha kuendelea na kufanya uchakataji wa taarifa kipindi nilipokua naitumia. Kwa mfano, Ukiwa unaangalia video au kutuma ujumbe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa wanaofahamu naombeni mnisadie
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Msaada wa maneno haya 1)Patch Certificate 2)QCN 3)Certificate 4)Encypted File System (efs)
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari za wakati huu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza mwenye kufahamu jinsi ya kuunlock hizi modem anipe msaada ili niweze kutumia hata katika line mbalimbali. Sasa hivi inatumia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada nimeweka password kwa kutumia email kwenye PC na sasa imegoma kuwaka.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwenye ufahamu shida ya hii Lenovo think centre atujuze. Nimejaribu idea zote nilizo pata online lakini bado shida ipo. Mambo niliyojaribu : - change power supply - reset cmos - upgrade/degrade...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa jinsi ya kuondoa hii add, inanisumbua sana kwenye simu yangu kila muda inatokea.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
vipi wazee, kwema? Kuna hizi simu za Tigo nimenunua hivi karibuni sasa nahitaji kuitoa Lock maana inatumia tu line ya Tigo, ningeweza kupeleka ikaflashiwe kwa mafundi ila nataka nijifunze...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nasema hivi kwa sababu kila ninapotembelea Blogu za kitanzania nyingi huwa unakuta trojans; kuna wakati Mwananchi ilikuwa na trojan kwa takribani miezi mwili kabla hawajachukua hatua; sasa hivi...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Naweza kusema kumekuwa na utitiri wa akaunti za video za YouTube kwa sasa hapa kwetu. Wengine hufanya akaunti nyingine zionekane wote ni wale wale. Kuna wale wazee wa kuweka Heading mbovu ili...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Habari zenu watafiti, wasomi na wachambuzi wa mambo. leo ni siku ya tatu napokea sms mfurulizo hadi zinakera. niliwapigia Airtel wakajibu sio sms zao labda niangalie setting ktk simu. kuna chanzo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Poleni kwa pilika wakuu. Nimenunua tlc 32 smart tv... Lengo kubwa ilikuwa niweze kuitumia kwa ajili ya kuangalia mpira kwa kutumia app ya cm... Mwenye ujuzi wa namna ya ku mirror cast naomba...
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Habari za jumapili wandugu. Kama heading inavyojieleza nimekuwa nikipokea meseji nyingi toka Tigo. Kwa siku naweza pokea meseji zaidi ya mia mbili toka namba 100. Nimejaribu kuwasiliana nao...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH Na'am, In shaa Allaah Leo Tutakhabarishana JINSI YA KURUDI KWENYE GROUP LA WhatsApp ULILOTOLEWA BILA KUTUMIA APPLICATION. Ni Jambo Flani, Kqma...
5 Reactions
53 Replies
46K Views
Ni wazi kuwa smartphone zimekuwa sehemu ya maisha yetu ya kila siku kiasi kwamba pale simu yako inapokuwa imezima angalau kwa dakika chache unakuwa na wasiwasi wa kushindwa kufanya mambo yako ya...
4 Reactions
1 Replies
3K Views
Je, ameamua kurusha channel zote free? Au ni mbinu ya kibiashara kupata wateja wapya? Maana zote zinaonekana. Mwenye kujua atujuze.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Naombeni msaada upande wa Apple touch ID haiwezi kufunguka.
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom