Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Juzi nikawa naangalia camera ya Infinix hot 7 camera mbili nikawa nafikiria inakuwaje camera mbili zinfunction at the same time nikasema labda camera moja ni ya beauty nyingine in ya portrait au...
1 Reactions
45 Replies
6K Views
Salamu kwenu wote. Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wadau wa jukwaa hili pendwa. Nimekuja kwenu kuomba msaada ni namna gani naweza kurudishia files zangu zilizokuwa affected na virus aitwae helroset. Huyu virus aliingia kwa njia mtandao...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Naomba mwenye uelewa wa mambo hayo au moja kati ya hayo atusaidie Ni swali tunalo jiuliza wengi wetu Karibu utoe elimu .....…..........
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hacker Axi0mX siku ya leo ameweza kuachia Chekra1n, tool ambayo ina uwezo wa kujailbreak simu za iPhone pamoja na ipad ambazo zina run iOS 13. Kwa wasiofahamu, maana ya kujailbreak ni kuondoa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Nikitaka kucheza FIFA 14 kuna ujumbe huu (FIFA 14 setup is damaged).
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hi to everybody, Why cant my friends see my post? I have shared post in the past and have not had any issues but now my friends cant see most of my posts. I have checked the privacy setting on...
1 Reactions
3 Replies
774 Views
Jamanie ushamba mzigo ,mimi mpaka sasa sijajua tofauti iliyopo kati ya f book lite na f book messenger.naamini humu ndani huwezi toka kapa japo watatokea wa kunipooonda, ila kwangu mimi sitajali...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Natafuta PC (Laptop) kwa ajili ya kijana anaeanza masomo IT (Certificate-Diploma). Nafikiria kuja Dar kwa ajili hiyo. Naomba ushauri wa maduka gani na wapi ambapo naweza kupata PC nzuri cha msingi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Vipi hii pc inafaa ni Core i5 maana huwa nashindwa kutofautisha processor generations.
0 Reactions
5 Replies
967 Views
Nina Tv (television) aina ya Startimes, leo nimeiwasha naona inatoa tu sauti lakini picha zinakuwa in deam light hazionekani kabisa. Shida inaweza kuwa nini? Msaada please.
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Confirm the website or a computer you want to hack. Find or trace their IP address. Make sure that IP address is online Scan for open ports Check for venerable ports access through the port...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Port Scanning is one of the most popular techniques used by hackers to discover services that can be compromised. A potential target computer runs many ‘services’ that listen at ‘well-...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Instagram ambayo ipo chini ya Facebook imekuja na wazo jipya la kuficha idadi ya Likes kwenye post yao. Kwa hiyo mfano Jamiiforums wakipost picha Instagram, Robort aka Like itaandika hivi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Msaada please simu yangu nikiweka memory card 16GB inaandika Damaged SD card. Naombeni msaada wenu please tatizo liko wapi au nawezaje kutatua tatizo hili. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam kwenu. Samahani naomba niende moja kwa moja kwenye shida iliyonileta hapa. Nina ndugu yangu huwa akinipigia kwenye simu yangu ya Nokia kitochi kwanza haiiti kwa sauti hata kama ipo katika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
An Explainer for When the Internet Goes Down: What, Who, and Why? Isabel Linzer, Research Associate Map highlighting connectivity restrictions and social media blocks in Africa since 2017 What’s...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Msaada jinsi ya kuunganisha internet kutoka kwenye iphone kwenda kwenye computer Nikijaribu ku connect hata USB option sioni
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalam naomba msaada wenu, Ninayo Isus mini laptop inazingua sana kwenye keyboard. Mfano unaweza kubofya kifungo cha herufi U ikakurudisha kwenye start menu. Unaweza kubofya kifungo cha herufi...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Hatimaye nimeweza kuintergate the mobile payment to the online store. Mwenye comment atupie, the site is just for demo. bit.ly/2V5HJSj
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom