Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habari wakuu nahitaji simu ya bei rahisi kabisa, ila iwe na 4G kwa Vodacom. Naelekea dukani msaada please
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari, Msaada tafadhali kwa wale wataalamu wa simu. Simu yangu nilibadili line ya nchi nyingine niliporudisha ya Tanzania, Tigo imekuwa haifuction vitu kadhaa kufungua internet, Instagram...
0 Reactions
1 Replies
841 Views
Nilinunua simu feki ya iPhone 6 mnadani kwa laki 4. Sasa naomba mnielekeze ni simu ipi nzuri ya iPhone (ngapi) na Samsung (ngapi).ili niweze kununua mpya dukani ikiwemo RAM, display nk.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Vp kuhusu Tv za geevox ni imara na zinakuwa na picha angavu? Au magumashi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari yenu wadau, natumai weekend imeenda vyema. Haya leo Samsung wamezindua their latest flagship codenamed Samsung Galaxy s6. Kumetokea vita ya maneno kati ya android/Samsung fan vs iPhone...
0 Reactions
111 Replies
17K Views
Juzi nilinunua simu aina ya iPhone NJ, nilipoiwekea simu card ikaandika emergence call. Nikabadili SIM card tena ikaandika emergence call, na chaji ilikuwa imekaribia kuisha, ilikuwa na 1% ambapo...
2 Reactions
113 Replies
8K Views
Kuna sehemu huwa tunatumia LAN kwa ajili ya internet kwenye PC, sasa tulikuwa tunatumia software kama connectfy, kusupply wireless kwenye simu from LAN. Ila sasa hivi karibia software zote...
0 Reactions
4 Replies
748 Views
Nina machine tatu nahitaji ziprint kwa wireless. Moja ni Canon advance Ir C3525, pili ni Canon Ir 2525 na pia print aina ya HP LaserJet m750. Hii ya kwanza nikiingia kwenye network,bmenu zote za...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Tafadhali msaada nimenunua remote mpya ya singsung niitumie kwenye tv ya brand iyo ila haija respond vipi kuna procedure yoyote ku conect kama zile za universal
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Poleni na majukumu wana jf Ipi ni simu bora sana kati ya Samsung J7 prime, Neo Pro na Samsung J7 tu. Nataka kununua kwa matumizi ya kawaida maana napenda sana kununua Samsung J7 sasa sijui ni ipi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani Mimi ni mwanafunzi... Na kwa sasa Niko katika harakati za kujifunza jinsi ya kutumia hiyo program ya computer. Naomba kujua tatizo nini napoishia hapo katika operations zangu. Inakwamia...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Habari wapendwa, ndugu, na jamaaa wote ndani ya jukwaa. Nahitaji msaada jinsi ya kuinstall whatsApp kwenye hii iPhone 4 yangu ina iOS ya 7.1.2 Wataalamu Nielezeni jinsi ya kuinstall
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimedownload tarehe 4 leo naambiwa niupdate alafu nikienda Play Store nakuta updates hamna.
0 Reactions
1 Replies
34K Views
Jana kimvua kilikuwa kinanyesha upande wa mashariki,jua lilikuwa linakaribia kuzama upande wa magharibi. pakatokea upinde wa mvua,mtoto akaniuliza swali,zile rangi zinatokana na nini? kutokana...
1 Reactions
33 Replies
21K Views
Habari zenu wanajamvi!, kama ambavyo title inajieleza. nlifanikiwa kusubmit my website to google adsense na waka aprove na ads zikawa on kwenye my site.. my site haina muda mrefu imekuwa published...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kwa website tunafanya kazi nzuuri saana na kampuni yetu inaitwa GebTech compony na kwa bei rahisi saaana,tunapatikana kwa number 0753093869 .Bei kwa website 1 ni 140,000 sawa na buree. Kama una...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kabla ya kuangalia namna ya kujitoa kwenye huduma hii, kwanza ningependa tuanze kwa kutoa ufafanuzi Truecaller ni nini? TrueCaller ni app maarufu duniani inayowawezesha watumiaji wake kutambua...
1 Reactions
1 Replies
7K Views
Naombeni msaada wa kujua App gani inayoweza kunisaidia kusoma messages ambazo aidha namba niliblock kwa bahati mbaya.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Salaam, Mwenye ufahamu na hii kitu wakuu, nimeipitia juu juu tu, nahitaji kufahamu mtu unawezaje kuifanya katika kupromote website?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom