Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Leo napenda kushare idea kuhusu matumizi ya IPhone hasa kwa upande wa Kutuma na kupokea Documents between android and IPhone. 1.Make sure una install Xender in iPhone (Xender for IPhone) na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibu kwenye Maujanja siku ya leo nitaenda kushare na wewe njia rahisi na ya haraka ya kutengeneza website ya muziki bure kwa kutumia smartphone yako. Njia hii ni nzuri sana na itakusaidia...
1 Reactions
26 Replies
14K Views
Guys watu wengi hua mnasikia terminologies yani 2G, 3G Mara H, H+ au E etc, Je, maana yake ni nini kwenye network? Kwa kifupi ni speed zinazotumika kusafirisha data kwenye internet ambapo...
35 Reactions
78 Replies
20K Views
Anaejua kampuni nzuri ya fridge, kuanzia matumizi ya umeme, kelele, na muda wa kudumu, hapa naomba kujua ubora wa fridge za Westpoint, LG na Samsung, ila hasa hasa Westpoint zipoje, kelele na...
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Kwa sasa nasoma ICT, Informational Communication Technology. Bado nipo hatua za mwanzo kwa wale mliopitia mnaweza kuja kuninoa hapa kwa maswali ili kunijenga zaidi. Wataalamu nahitaji sana msaada...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nilikuwa na check iPhone Kupatana nikakutana na hizi iPhone sasa sijui ndiyo bei zake au zinaweza kuwa na tatizo. Naombeni ushauri kabla sijaingia mkenge.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Wakuu samahani nina swali. Nataka kuulizia ni app gani nikiweka kwenye simu yangu itakuwa na uwezo wa kuficha picha, videos hata nyimbo, alafu na hiyo app isionekane kirahisi. Nawasilisha.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za muda huu wana jamvi, msaada tutani. Natumia iphone 6+ tatizo lake nikiweka SIM card tofauti na Tigo (kwa mfano Halotel, TTCL) haitaki kuwasha mobile hotspot lakini kwa line ya Tigo tu...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Serikali ya China imetangaza kuanzia Ijumaa ya kesho tarehe 2 Nov, mitandao yote ya simu China itaanza kutoa huduma ya 5G na kufikia mwisho wa mwaka huu inategemewa sehemu kubwa ya miji ya China...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
HAYA MASIMU YANAUZWA GHALI LAKINI FRINGER PRINT BURE KABISAA, WANAKWAMA WAPI HAWA JAMAA WANAZIDIWA NA WAKOREA NA VIMEO VYA KICHINA?? Simu tunatumia gharama kubwa kumiliki miezi kadhaa ina-fail...
3 Reactions
86 Replies
9K Views
Kuna hii kitu inaitwa Tecno CA7 imesimama balaa, mwanzo nilikuwa nawaza kununua note 5 nilipokutana nayo aisee imenipunguzia mambo mengi sana. Kuanzia gharama kwa huku imesimama laki tano na...
9 Reactions
273 Replies
27K Views
Habari wataalamu naomba kujuzwa juu ya vitu hivyo vitatu nilivyovitaja hapo juu. Naomba kujua maana zake na tofauti zake kitalaamu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kama kuna kitu kinawaangusha Apple Inc katika bidhaa zao basi sio kitu kingine ni Battery za devices zao tofauti kutokukaa na chaji kwa muda mrefu, yaani ukimkuta mtumiaji wa iphone basi pembeni...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tuko kwenye zama za big data na atakayekua na umiliki na access ya data basi atakua na faida kubwa. Swali LA kujiuliza kwanin huawei anapigwa vita nchi za magharibi, ni matokeo ya tabia ya...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ndugu Wana JF, Nahitaji kufungua duka online (eShop) kama ilivyo Jumia, Amazon, eBay, Kikuu nk. Je naweza nikapata vitu gani vya kuzingatia kabla sijaanza rasmi? N.B: Sina store ya vitu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Salaam, Halotel walivyoanzisha Royal Bundle Offer ilikuwa Simple, Lipia kuanzia Elfu 10 Kwa mwezi utapata 2GB + 1.5GB high speed, kisha utaendelea na unlimited internet kwa speed iliopunguzwa...
3 Reactions
16 Replies
10K Views
Msaada Jamani ! Hali Tete Siwezi Kushare Wala Kutembelea Site Kutokea Facebook. Sijui Ni Figisu Za Watu Au Vipi. Nawezaje Ku-unblock Site Iwe Kawaida Kama Mwanzo. Cc LIKE Niku ADD algorithm...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Ilianza kama utani utani Mara matangazo kuzima Mara Ujumbe wa temporary ad serving limit placed on your AdSense account hatimae yametimia kipigo hevi yani hapa napumulia mipira kwa hichi kipigo...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Unapotumia multi-item carousel/slider bila kufanya tafiti ili kujua limitation zake pale unapotaka tumia database ku retrieve data na kuzi display kwenye interface basi unaeza tumia nguvu nyingi...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu wote. Naomba kwa anaeelewa Blotting Paper anisaidie kuelewa na sehemu zinapopatikana au kuuzwa. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
0 Replies
497 Views
Back
Top Bottom