How iPhone iOS update means Apple workers can STILL listen into your conversations recorded by Siri unless you opt out or delete them
The latest Apple update will record users' conversations...
Habarini ndugu,
kwa wale wanaotumia/waliowahi tumia PesaPal payment gateway kwenye woocommerce inashindwa kufanya update ya order status hata baada ya malipo kukamilika, hivyo inalazimu kufanya...
Habari wanajukwaa wa technology. Kama kichwa kinavyoelekeza, kuna laptop hapa 32 bit os,2.3Ghz processor, RAM 4GB HD graphics 3000. Hii laptop ilikuwa na window 7 sasa ikawa imeisha muda wake...
Habari wakuu, naomba msaada wenu,
Aisee hii simu haitaki kusoma 4G kwa line ya Voda while the chip is 4G, llakini line nyingine ziko poa kabisa.
Msaada nifanye nini?
PATO LAMIFUNGO YA TRANSISTOR (Transistor Gain).
Mbunifu napofunga transistor katika mfungo wowote hutarajia matokeo flani (pato),Matokeo haya ndiyo huitwa pato la Transistor.
Hasa kwa wanao buni...
Natanguliza salamu,
Naombe kujua jinsi ya kupiga window mpya kwenye PC bila kutumia CD, na pia ku-update au ku-upgrade.
Pia kubadilisha, mfano kutoka window 8 kwenda window 10.
Asanteni.
nilikuwa najiuliza kila siku hawa propellerads wana taka ads za wapi ili kupiga pesa na kila nikijaribu kuuliza naambiwa ni south ila jinsi ya kushare hadi leo sijajua na nimebahatika kupata email...
Humu ndani suala la emulator ya android kwenye pc sio geni watu wengi wanaulizia jinsi ya kueka whatsapp kwenye pc na vitu kama hivi. kuna kipindi kuna game la android nilitaka kulicheza kwenye pc...
Je ikiwa unahitaji msaada wa maelekezo kuhusiana na yafuatayo uliza na utasaidiwa bure
1) Msaada kuhusu website (iwe ni kiushauri)
2) Chochote kuhusu Wordpress
3) Chochote na php au laravel
4)...
Hellow wanajf members,
Niko na project ya kudevelop e commerce web using drupal project ni ya kuuza vinyago online but ishu ya transaction ni tatizo kuna option ya kutumia paypal gateway but kwa...
I get the impression that a lot of people do not really know the difference between a hub, a switch, and a router. I will attempt to explain each one from the basic operations to more advanced...
Habari wakuu. Kuna sehemu hapa bongo wanauza Hifi (High Fidelity) speakers? Nahitaji spika ndogo za kuweka juu ya kabati ( Wazungu wanaita bookshelf speakers) au speaker za kusimamisha ndani ya...
Poleni na majukum ya kujenga taifa wakuu.
Nina laptop aina ya packard bell, imekuwa ikijizima mara kwa mara hususani ninapoweka modem na kuingia mtandaoni, cjui tatizo ninini.
Naombeni msaada...
Habari wana JF poleni na kazi na majukumu mbalimbali,
Bila kuwachosha niende moja kwa moja kwenye swali langu, ni kwanini fingerprint scanner kwenye simu janja baada ya kuscan upande mmoja wa...
Habari ya majukumu wana thread, mimi nina Honor 10 lite ya Kichina, tatizo ni kuwa nilimpatia fundi simu ili aweke version ya kiingereza, akasema wamelick bootloader, sasa tynajaribu kuweka hata...
Habari wakuu, eti Ni USB Modem gani ya 4G inayoweza kufanya kazi kwenye Macbook pro MOJAVE OS bila shida yoyote? kama unajua mahali zinapouzwa nijuze pia. Maana niimejaribu D Link na huawei...
Wadau WA jukwaa,kuna manzi wangu kanunua hiyo bidhaa,sasa kaniletea nimuwekee line na kupakua mavitu,
Nimeanza kuchemka,msaada kwa anaejua jinsi ya kuweka line.
Natanguliza shukrani za dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.